Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

Kuna jamaa mahala fulani initial salary scale ilikuwa 2M wakalakamika wakafika hadi 7M sasa hv wanakakamika tena wanataka iwe 10M!
Kweli mshahara hautoshi!
Taasisi gani hiyo tukaombe kazi kudadadeki.
Kuna jamaa mahala fulani initial salary scale ilikuwa 2M wakalakamika wakafika hadi 7M sasa hv wanakakamika tena wanataka iwe 10M!
Kweli mshahara hautoshi!
 
Dah sio fair mzee.
Me nipo sehemu mtu ana certificate ya General Agriculture analipwa 1.1m.
 
Uku kawaida .Me Niko sehemu mtu ana certificate ya kilimo salary ni 1.1m.
Tena wataongza salary 40% ndani ya miaka 3.wameanza mwaka uu.
Kama certificate anapata 1.1mil, kwa wewe mwenye Elimu zaidi yake basi utakuwa unakunja pesa nyingi sana maana mpo taasisi moja.
 
Kuna halmashauri ya kijinga na kifedhuli kama pangani kmmk
 
Ukiwa halmashaur we ukiweza kuiba iba tu kumamaake kama n mwalim ndo bhas komaa tu kikubwa huwez kufa na ww una afadhali kuliko majobless wa mtaani komaa mungu atawaponya matamisemi yote ya tz hii ila ukipata gepu ushaur wangu iba na ukiiba fanya la maana jenga na usijenge kituo chako cha kazi mana hela ya wizi ukikaa nayo itaisha bila kujua me ushaur wang huo ila ka mnakaa kusubiria hela za uchaguz haya subirin
 
Nyie ridhikieni tu na mishahara yenu hii nchi ni masikini mnoooo....mnataka hiyo mishahara itoke wali au mnataka na hvi vimaendeleo Uchwara wanavowaletea kwa kuupiga mwingi wavisimamishe mkaongezewe ninyi mishahara si ndio eeh.......labda sema ufanyike tu msawazo wa mishahara kuwepo na balance kwa maana wenye mishahara mikubwa wapunguzwe na wenye kidogo wapandishwe basi... .
 
Kuna jamaa mahala fulani initial salary scale ilikuwa 2M wakalakamika wakafika hadi 7M sasa hv wanakakamika tena wanataka iwe 10M!
Kweli mshahara hautoshi!
Mshahara hautoshi ila angalau basi na local government tupate hicho kikubwa.

#YNWA
 
Hama nchi... njoo tulee wazee huku dunia ya kwanza, ondoka huko kwenye rushwa, unyonyaji na siasa chafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…