BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Ungesoma diploma ya pharmacy ungekuwa mbaliNikiwa na Div 2 yangu ya PCB, nilikosa ada ya kusoma direct BEF nikaanzia na Diploma kama alivyotaka mfadhili.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Haina helaUngesoma diploma ya pharmacy ungekuwa mbali
Unafanyaje Rotation kwa Professionals mzee, Halafu Ile Expertise, Competency unajua Ni gharama sana Kumtengeneza mtaalam at Senior Levels mzee.?Ikishindikana kuwe na rotation miaka mi5 kwa taasisi na mashirika ikiisha unaenda halmashauri mi5 tena ndo akili zitakaa sawaa
Mbona sasa unalalamika sana kuhusu mshaharaHaina hela
Biashara ndio kila kitu.
Na sasa nina biashara, hivyo NILIPO SIJAKOSEA, niko kama PLAN ILIVYOPANGWA.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hata kama nina milioni mfukoni, ila nikitembea nikakutana na buku LAZIMA NIOKOTE.Mbona sasa unalalamika sana kuhusu mshahara
BoT wametangazaHata kama nina milioni mfukoni, ila nikitembea nikakutana na buku LAZIMA NIOKOTE.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hali ni mbaya Kila KonaSalaam ndugu Wana JF,
Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF.
Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.
Twende kwenye hoja..
Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara anaoendea mpaka nimeshangaa.
Huyu jamaa basic analipwa TGS D = 745k ukitoa makota inayoingia mfukoni ni 500k and something.
Ila sasa huko aendako atakuwa analipwa basic 1.8Mil.
Hili limenifanya nijiulize ""KWANINI HALMASHAURI WANALIPWA KIDOGO KULIKO WATU WOTE SERIKALINI?""
Sometimes naonaga kama kufanya Kazi serikalini ukiwa chini ya TAMISEMI kama ni "laana/Majanga" maana kwenye mshahara huku ni dah "Ashukuriwe Mungu"
Hivi jiulize...
Tax Officer TRA Kazi yake ni kukusanya kodi, ada na tozo na Afisa mapato Halmashauri kazi yake nae ni kukusanya kodi na ushuru. Mbona sasa huyu Tax Officer (accounts) analipwa zaidi ya Afisa mapato wa Halmashauri (accounts)?
Hawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu ana shavu zaidi ya huyu..!!
Why this, ikiwa wote wapo chini ya serikali moja?
Mishahara ya halmashauri inachekesha hasaa.
Ukiachana na afya ambao kidogo wao "alhamdulilahi ila"
1. Ukisoma diploma mshahara ni TGS C = 500k take home 400k
2. Ukisoma Bachelor ya miaka 3
TGS D = 700K take home 500k
3. Ukisoma Bachelor ya miaka mi4 ni TGS E = 900K take home 700k
(Mishahara hii nime approximate kwa kukaribisha zeros at the end)
Na kengine huku Halmashauri hizi masters na short course hazina hata maana ki-mshahara zaidi ya kwamba ni "Added advantage" ila sio ki-financial aspect HAKUNA LOLOTEE. Unakuta wewe una masters na mwenzio bachelor ila mshahara mnafanana.
Huwa nawaambia madogo ""Njoo halmashauri tafuta cheki namba halafu sepa huko kwenye mishahara minono"". Kwani nani asiyependa kufanya Kazi kwenye mshahara mkubwa?
Haiwezekani uliosoma nao wote mpo serikalini ila wao wana mishahara na maposho zaidi yako kisa wewe upo local government!
Kwa upande mwingine. Ukiangalia bungeni wanatupa sana lawama kwa Halmashauri huku wanasahau kuwa watumishi wao bungeni wana mishahara mikubwa kuliko wa halmashauri.
Yaani halmashauri inasemwa sana juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALMASHAURI.
Sijawahi hata siku moja kusikia taasisi yoyote nchini ikiongelea maslahi ya watumishi wa Halmashauri zaidi ya kuwalaumu.
KUHUSU POSHO.
Watu wanakwambia "Halmashauri wanajilipa posho sana"
Wanasahau kuwa, posho ni mapato ya ndani "own source" na kuna Halmashauri hayo mapato ya ndani HAKUNA.
Hivi halmashauri kama Ukerewe, Tanganyika, Momba, Mpimbwe, Ileje WANAJILIPA MAPOSHO kwa mapato gani?
Ikiwa tu makusanyo yao hat Bil 2 kwa mwaka hakuna (maana vyanzo vya kukusanyia hakuna).
Sasa Hawa hizo posho wanapata wapi?
MAMA HALI NI MBAYA.
Watumishi wa Halmashauri Wana hali mbaya. Achana na hizi Halmashauri za mjini, ila hizi Halmashauri za vijijni watu Wana hali mbaya na ""Asilimia 90 ya watumishi wanapigana na kuhangaika ili wahame"" maana hakuna anayekubali mshahara mdogo huku kwenye mkubwa panaonekana.
Imefika wakati hii mishahara ya Halmashauri iangaliwe. Inakuaje mtu mwenye bachelor yake ya uhasibu kaajiriwa tokea 2015 mpaka leo mshahara ni 745,000/= yaani ukitoa kodi kinachobaki ndio aendeshee maisha.
Walimu nao wanateseka.
Hizo TGTS C, D, E, F ukizisoma utadhani ni pesa nyingi.
Sasa ngoja uandikiwe ni kiasi gani UTABAKI KUSHANGAA.
Unakuta mwalimu kasoma na mwenzake Bach. Ed
Huyu kawa mwalimu wa sekondary huyu kaajiriwa assistant tutor.
Sasa ukitaka kuona ""maajabu cheki mishahara yao""
Tutor ana mshahara kuliko mwalimu. Bila kusahau Tutor anaposho za vipindi na vitu vyengine ila yeye mwalimu kwanini asiwe na posho za vipindi?
Kuna Watu wapo taasisi huko WANALIPWA mishahara mara tatu ya halmashauri.
Madereva katika fani nayoonea huruma ni walimu na madereva.
Kwani Kuna utofauti gani wa dereva wa BOT, Wizara na Halmashauri?
Hivi V8/gari si ileile na gia si zilezile na lami si ileile, KWANINI Dereva wa Halmashauri ana TGS B na wengine WANALIPWA mara mbili yake? Au magari yao wao yanapaa na ya halmashauri yanatembea kwenye lami?
HII SI AFYA KABISA.
Nina mengi ya kuongea NAOMBA NIISHIE HAPO.
Mama Niko chini ya miguu yako NAOMBA HILI LITAZAMWE.
Mishahara ya Halmashauri ni nomaaa Raisi wangu.
Asante.
#YNWA
Mwenyekiti wa wafanyakazi wa local government[emoji2]Tangazo liko wapi?
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Maneno ya nyuma ya keyboard😂Bora nilime bamia kuliko hiyo mishahara ya kiboya
So tamisemi wamekuajiri kwa ticket ya masters?1. Diploma in Finance
2. Bachelor of Science in Economics and Finance
3. Masters of Science in Finance and Investment.
4. Ilikuwa niwe PhD Candidate in International Economics, ila nilighairii
Kwa hii qualification Unadhani mimi ni mwalimu?
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ungepiga PCB usome udaktari wa binadamu, si umesifia kwenye uzi wako kuwa watu wa afya wana nafuu kidogo kwenye malipo.Nikiwa na Div 2 yangu ya PCB, nilikosa ada ya kusoma direct BEF nikaanzia na Diploma kama alivyotaka mfadhili.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Subiri Miaka 15 ya kazi ili uwer pensionable.Nimeamua kuwa selective, kila nikipata fursa naambiwa unahamia halmashauri X, yaani natoka chooni naingia maliwatoni..!!!
Nilchoamua ni kukomaaa biashara zangu tu, ukifika muda nisepe mazima niwe full time interpreneur.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Business is better than anything.Ungepiga PCB usome udaktari wa binadamu, si umesifia kwenye uzi wako kuwa watu wa afya wana nafuu kidogo kwenye malipo.
Niliajiriwa 2012 nikiwana diplomaSo tamisemi wamekuajiri kwa ticket ya masters?
Na nyie njoo huku mjifunze maisha.!!Mwenyekiti wa wafanyakazi wa local government[emoji2]
Bakini huko huko , mnataka kuja huku central halafu nani ahudumie wananchi wanyonge
How to consumers and producers creats a salary Gap??Gap ya salary lazima iwepo tu coz kuna Consumers na Producers
Salaam ndugu Wana JF,
Naambiwa "Mama" yetu Rais wetu huwa anasoma humu JF.
Kwa heshima na taadhima naomba asome na hii.
Twende kwenye hoja..
Leo hii Kuna jamaa yangu kutoka halmashauri ya jirani kapata uhamisho kutoka halmashuri yake kwenda chuo cha Mandela (Arusha) yaani kwa huo mshahara anaoendea mpaka nimeshangaa.
Huyu jamaa basic analipwa TGS D = 745k ukitoa makota inayoingia mfukoni ni 500k and something.
Ila sasa huko aendako atakuwa analipwa basic 1.8Mil.
Hili limenifanya nijiulize ""KWANINI HALMASHAURI WANALIPWA KIDOGO KULIKO WATU WOTE SERIKALINI?""
Sometimes naonaga kama kufanya Kazi serikalini ukiwa chini ya TAMISEMI kama ni "laana/Majanga" maana kwenye mshahara huku ni dah "Ashukuriwe Mungu"
Hivi jiulize...
Tax Officer TRA Kazi yake ni kukusanya kodi, ada na tozo na Afisa mapato Halmashauri kazi yake nae ni kukusanya kodi na ushuru. Mbona sasa huyu Tax Officer (accounts) analipwa zaidi ya Afisa mapato wa Halmashauri (accounts)?
Hawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu ana shavu zaidi ya huyu..!!
Why this, ikiwa wote wapo chini ya serikali moja?
Mishahara ya halmashauri inachekesha hasaa.
Ukiachana na afya ambao kidogo wao "alhamdulilahi ila"
1. Ukisoma diploma mshahara ni TGS C = 500k take home 400k
2. Ukisoma Bachelor ya miaka 3
TGS D = 700K take home 500k
3. Ukisoma Bachelor ya miaka mi4 ni TGS E = 900K take home 700k
(Mishahara hii nime approximate kwa kukaribisha zeros at the end)
Na kengine huku Halmashauri hizi masters na short course hazina hata maana ki-mshahara zaidi ya kwamba ni "Added advantage" ila sio ki-financial aspect HAKUNA LOLOTEE. Unakuta wewe una masters na mwenzio bachelor ila mshahara mnafanana.
Huwa nawaambia madogo ""Njoo halmashauri tafuta cheki namba halafu sepa huko kwenye mishahara minono"". Kwani nani asiyependa kufanya Kazi kwenye mshahara mkubwa?
Haiwezekani uliosoma nao wote mpo serikalini ila wao wana mishahara na maposho zaidi yako kisa wewe upo local government!
Kwa upande mwingine. Ukiangalia bungeni wanatupa sana lawama kwa Halmashauri huku wanasahau kuwa watumishi wao bungeni wana mishahara mikubwa kuliko wa halmashauri.
Yaani halmashauri inasemwa sana juu ya wizi ila HAKUNA MTU YEYOTE ANAYEONGEA KUHUSU UDOGO WA MISHAHARA YA HALMASHAURI.
Sijawahi hata siku moja kusikia taasisi yoyote nchini ikiongelea maslahi ya watumishi wa Halmashauri zaidi ya kuwalaumu.
KUHUSU POSHO.
Watu wanakwambia "Halmashauri wanajilipa posho sana"
Wanasahau kuwa, posho ni mapato ya ndani "own source" na kuna Halmashauri hayo mapato ya ndani HAKUNA.
Hivi halmashauri kama Ukerewe, Tanganyika, Momba, Mpimbwe, Ileje WANAJILIPA MAPOSHO kwa mapato gani?
Ikiwa tu makusanyo yao hat Bil 2 kwa mwaka hakuna (maana vyanzo vya kukusanyia hakuna).
Sasa Hawa hizo posho wanapata wapi?
MAMA HALI NI MBAYA.
Watumishi wa Halmashauri Wana hali mbaya. Achana na hizi Halmashauri za mjini, ila hizi Halmashauri za vijijni watu Wana hali mbaya na ""Asilimia 90 ya watumishi wanapigana na kuhangaika ili wahame"" maana hakuna anayekubali mshahara mdogo huku kwenye mkubwa panaonekana.
Imefika wakati hii mishahara ya Halmashauri iangaliwe. Inakuaje mtu mwenye bachelor yake ya uhasibu kaajiriwa tokea 2015 mpaka leo mshahara ni 745,000/= yaani ukitoa kodi kinachobaki ndio aendeshee maisha.
Walimu nao wanateseka.
Hizo TGTS C, D, E, F ukizisoma utadhani ni pesa nyingi.
Sasa ngoja uandikiwe ni kiasi gani UTABAKI KUSHANGAA.
Unakuta mwalimu kasoma na mwenzake Bach. Ed
Huyu kawa mwalimu wa sekondary huyu kaajiriwa assistant tutor.
Sasa ukitaka kuona ""maajabu cheki mishahara yao""
Tutor ana mshahara kuliko mwalimu. Bila kusahau Tutor anaposho za vipindi na vitu vyengine ila yeye mwalimu kwanini asiwe na posho za vipindi?
Kuna Watu wapo taasisi huko WANALIPWA mishahara mara tatu ya halmashauri.
Madereva katika fani nayoonea huruma ni walimu na madereva.
Kwani Kuna utofauti gani wa dereva wa BOT, Wizara na Halmashauri?
Hivi V8/gari si ileile na gia si zilezile na lami si ileile, KWANINI Dereva wa Halmashauri ana TGS B na wengine WANALIPWA mara mbili yake? Au magari yao wao yanapaa na ya halmashauri yanatembea kwenye lami?
HII SI AFYA KABISA.
Nina mengi ya kuongea NAOMBA NIISHIE HAPO.
Mama Niko chini ya miguu yako NAOMBA HILI LITAZAMWE.
Mishahara ya Halmashauri ni nomaaa Raisi wangu.
Asante.
#YNWA
Ulichopewa ndiyo stahiki yako, toshekeni na mishahara yenuKwenye economics tunasema "In real sense every consumer is a mean"
Kwamba kila binadamu anahitaji zaidi ila ukiwa wewe ni baba wa familia una watoto wa5.
Kwanini ukitoka kazini unaleta zawadi kwa upendeleo na ikitokea yule asiyependelewa analalamika utamwambia "Huridhiki"
Kwanini usigawe zawadi sawa ndio uaanze kuwa "judge"??
#YNWA