Imefika wakati serikali iangalie mishahara ya watumishi wa "Local government" maana hali zao za mishahara ni ngumu na mbovu sana

Wakati huo huku Chunya kuna vijana wapo kwenye michakato ya madini hawajaenda shule na hiyo 1,800,000 unayo ona ni kubwa watu wanaweza kuitengeneza hata mara 5 kwa mwezi. Watu wa serikalini hua tunawaona watu wa njaa njaa tu
 
Ulichopewa ndiyo stahiki yako, toshekeni na mishahara yenu

Kuna mtu yupo kitaa saivi akiambiwa aajiriwe kwa nusu ya unachodai atakubali, jifunze KURIDHIKA
Kwa kuwa mtaani kuna machokoraa wanalala mitaroni, hawakufanyi wewe ulale nje.
Kila mtu apewe haki yake, its all about equality and equit.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Hawa wawili, wamesoma course moja, chuo kimoja, wakaajiriwa na serikali moja ila tu kwasababu ya huyu yupo taasisi na huyu yupo "Local government" basi huyu ana shavu zaidi ya huyu..!!
Ndiyo maana ya local lazima maisha yawe ya ki local
 
Hatari! Basic ya jamaa yako ni take home yangu! Hapo nina mkopo nakatwa laki na 20!
 

Attachments

  • Screenshot_20241217_195529_OneDrive.jpg
    84.7 KB · Views: 7
Oa weweee
 
Mkuu ni fact bila chenga Halafu hizi halmashauri za pembezoni yaani mpaka huduma za kijamii nazo ziko hovyo mno halafu bila kusahau ndio tunapambana huku kuuaminisha umma kuwa tupo katika mikono salama Mama tafadhali fanya jambo tunadhalilika
 
Kama unamaanisha mshahara pekee ni hivi, Mamlaka za Serikali za Mitaa na Serikali kuu wanafanana mshahara. Labda iwe fursa nyingine tofauti na hapo. Isipokuwa Serikali Kuu baadhi ya Taasisi ndani ya Serikali Kuu zina mshahara juu kuzidi local government na Serikali kuu kwa maana ya Wizara na Tawala za Mikoa kama vile Wakala (Agencies), Tume (Commissions), Mamlaka (Authorities)
 
Anaefanya kazi sana hulipwa kidogo. Na hata mishahara yao huwa midogo. Sgjuwi ni kwanini.
 
Ukiona mtu kaanzia diploma jua tu huyo alikua kilaza.ila hongera pia kwa kutokata tamaa.
 
Sasa hapo hawatasoma itasomwa na wavuja jasho lakini wala AC hawaingii kwenye huu mtego
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…