Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Kuna vitu vinafanyika nchini hadi unapatwa na vicheko ukifikiria yanayoendelea halafu watawala hata hawajali, wanapiga hela na wanatutambia
Baadhi ya mambo yanayochekesha nchini na serikali haichukui hatua yoyote zaidi ya kuangalia upande wao.
1. UJENZI WA SGR.
wamewekeza siasa sana kwenye mradi huu kuliko maendeleo ya mradi wenyewe, yaan mradi haujafika hata 70% ya tegemeo kwenye final station kwa phase 1 (DAR MWAMZA) wameshaanza kuweka mikakati na kuanza kujenga KIGOMA, mara MTWARA. Hii inafanya wengi tuone ni muendelezo mbaya wa ujenzi wa mradi huu.
UKIACHILIA HASARA ZA DAR TO DOM
Ushauri: Walipaswa kukomaa kumaliza ujenzi wote DAR MWANZA kisha wakatawanya kwenda maeneo mengine ya NCHI ila tatizo
2. MWENDOKASI PROJECT (DART)
huu kila mmoja anajua ni MRADI MFU unaotembea, mradi ulishajifia miaka 5 nyuma huko walipoanza kuweka SIASA
3. REPORT YA CAG na UTAUZI WAKE.
Kwasasa CAG akitoa report hata watawala hawashtuki wala wananchi hii itoshe kusema tumeshazoea kuona madudu kila leo, 2022/2023 riport ilitoka mbaya na hakukuwa na ufuatiliaji hata kwa 20%.....
pia 2023/2024 Madudu yalitamkwa hadharani na CAG aliomba uchunguzi ufanyike na watu wafikishwe kwenye vikao kubaini upotevu wa mapato ila HAKUNA TULICHOSIKIA.
Haya 2024/2025 REPORT IMESOMWA na hatujasikia lolote la A wala B zaidi ya Bi mkubwa kutamka ufuatiliaji wake ila watanzania wameshajua ni UPEPO TU WA MUDA na hatutaona kitu kikitokea
Hii inaonesha jinsi gani viongozi wetu wanatupatia RAHA tuendelee kucheka duniani na siku tukiwa mbinguni kuna mataifa yataambiwa YATUCHEKE kama adhabu yetu sisi WATANZANIA.
Tunao viongozi BORA na waadirifu ila HAWANA SAUTI hata chembe ila wenye SAUTI wamegeuka wapiga makofi wa NAMBA 1 wao kila kona ni kisifu tu JINA LAKE