Imefikia mahali kunywa juice za dukani ni hatarishi kwa afya yako kuliko kunywa soda!

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepsi, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako.

Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine wakiwa tayari kuwapa watoto wao wadogo juice za dukani huku wakizuia kabisa kuwapa soda.

Huko ni kufikiri kuliko potoka sana!

Imefikia mahali ambapo kunywa juice za dukani ni hatari zaidi kuliko soda, hasa ukizingatia hizi juice zinavyotengenezwa. Navyojua ni kwamba, ukilinganisha na soda, juice ziko juu sana katika viwango vya benzene na ascobic acid, vitu hatarishi kwa afya vinavyoleta kansa, ambavyo sio tatizo katika soda!

Kumbuka kwamba, japo kuna tatizo la sukari nyingi katika soda, standard ya soda kama Pepsi au Coca Cola, inadhibitiwa kimataifa. Soda unayokunywa Tanzania inatakiwa kuwa ya kiwango kile kile kama ile utakayokunywa USA au Ulaya. Na tunajua wenzetu wako strict sana kwenye masuala ya viwango.

Tofauti na soda, juice utengenezaji wake ni local - ni kama kila mwenye kiwanda cha juice anaamua aweke madudu gani kwenye juice yake, na usimamizi wa udhibiti wa utengenezaji juice hapa nchini ni dhaifu sana. Inasemekana kuna wakati hata suala la kupitisha standard za juice nchini linafanyika kisiasa, kwa amri kutoka juu - mpeni lebel ya standard huyo - labda tu kwa sababu ni mchangiaji sana wa fedha za chama fulani. Na pia, imethibitika kwamba katika juice nyingi zilizoko madukani, viwango vya kemikali zilizowekwa si sawa na ilivyoandikwa kwenye chupa ya juice.

Na pia tukumbuke kwamba juice zimetengenezwa kukaa hata zaidi ya miaka miwili zikiwa hazijanywewa, wakati mzunguko wa soda ni mdogo sana - ndani ya mwezi mmoja soda zilizotengenezwa zinakuwa zimeisha, na hivyo sio rahisi kuwa na mabadiliko ya kikemia kama ilivyo kwa juice!

Hivyo ndugu zangu, tafakari sana juu ya soda Vs juice. Ni kweli soda zina tatizo la sukari nyingi - lakini juice matatizo yake ni sukari nyingi pia na madawa kibao yanawekwa bila udhibiti thabiti, hasa katika nchi zetu hizi. Juice nzuri ya wewe kunywa ni ya kutengeneza mwenyewe nyumbani ukitumia matunda fresh!

Kwa mnaoweza kumfikia Prof. Janabi, muulizeni swali la moja kwa moja; kama hapa Tanzania ungelazimika kuchagua kati ya juice ya dukani na soda ili unywe, ungeona angalau uko salama kunywa nini kati ya hivi vitu viwili?
 
Kuna wakati hii video ilisambaa sana kuhusu juice za Azam, na serikali ilikaa kimya wakidai ni uchochezi wa kibiashara. Lakini kinachoongelewa kina harufu sana ya ukweli na wanafanya reference. Angalia hapa.

Energy Drink & Juice hivi ndo vinywaji vinavyotakiwa vithibitiwe ubora na viwango vyake viwekwe hadharani watu waelewe .

Hivi vinywaji bei yake ni too cheap kiasi cha kunifanya nitilie mashaka ubora wake
 
Kama unafikiri Tanzania ina udhibiri wa kutosha wa hivi vinywaji kabla havijasambazwa huko madukani - think again. Nchi hii kila kitu ni siasa.
 
Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepso, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako.

Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine wakiwa tayary kuwapa watoto wao wadogo juice za dukani huku wakizuia kabisa kuwapa soda.

Huko ni kufikiri kuliko potoka sana!

Imefikia mahali ambapo kunywa juice za dukani ni hatari zaidi kuliko soda, hasa ukizingatia hizi juice zinavyotengenezwa. Navyojua ni kwamba juice ziko juu sana katika viwango vya benzene na ascobic acid, vitu hatarishi kwa afya ambavyo sio tatizo katika soda!

Kumbuka kwamba, japo tatizo la sukari nyingi katika soda, kiwango cha soda kama Pespei au Coca, kinadhibitiwa kimataifa. Soda unayokunywa Tanzania inatakiwa kuwa ya viwango kile kile kama ile utakayokunywa USA au Ulaya. Na tunajua wenzetu wako strict sana.

Tofauti na soda, juice utengenezaji wake ni local - ni kama kila mwenye kiwanda cha juice anaamua aweke madudu gani kwenye juice yake, na usimamizi wa udhibiti wa utengenezaji juice hapa nchini ni dhaifu sana. Inasemekana kuna wakati hata suala la kupitisha viwango vya juice nchini linafanyika kisiasa, kwa amri kutoka juu - mpeni lebel ya kiwango huyo - labda tu kwa sababu ni mchangiaji sana wa fedha za chama fulani. Na pia, imethibitika kwamba katika juice nyingi zilizoko madukani, viwango vya kemikali zilizowekwa si sawa na ilivyoandikwa kwenye chupa ya juice.

Na pia tukumbuke kwamba juice zimetengenezwa kukaa hata zaidi ya miaka miwili zikiwa hazijanywewa, wakati mzunguko wa soda ni mdogo sana - ndani ya mwezi mmoja soda zilizotengenezwa zinakuwa zimeisha!

Hivyo ndugu zangu, tafakari sana juu ya soda Vs juice. Ni kweli soda zina tatizo la sukari nyingi - lakini juice matatizo yake ni sukari nyingi pia na madawa kibao yanawekwa bila udhibiti thabiti, hasa katika nchi zetu hizi. Juice nzuri ya wewe kunywa ni ya kutengeneza mwenyewe nyumbani ukitumia matunda fresh!

Kwa mnaoweza kumfikia Prof. Janabi, muulizeni swali la moja kwa moja; kama hapa Tanzania ungelazimika kuchagua kati ya juice ya dukani na soda ili unywe, ungeona angalau uko salama kunywa nini kati ya hivi vitu viwili?
Juice ya embe mi naongeza maji ndio nampa mtoto
 
Watu wangi hatutambui kwamba tatizo kubwa la kunywa soda kama Pepso, Coca Cola nk, ni kwamba zina sukari nyingi sana ambayo si jambo zuri kwa afya yako.

Sasa utakuta watu wengi sana wamekuwa na mawazo kwamba ni vema kunywa juice za dukani (processed juice) kuliko kunywa soda, na hata wengine wakiwa tayari kuwapa watoto wao wadogo juice za dukani huku wakizuia kabisa kuwapa soda.

Huko ni kufikiri kuliko potoka sana!

Imefikia mahali ambapo kunywa juice za dukani ni hatari zaidi kuliko soda, hasa ukizingatia hizi juice zinavyotengenezwa. Navyojua ni kwamba, ukilinganisha na soda, juice ziko juu sana katika viwango vya benzene na ascobic acid, vitu hatarishi kwa afya vinavyoleta kansa, ambavyo sio tatizo katika soda!

Kumbuka kwamba, japo kuna tatizo la sukari nyingi katika soda, standard ya soda kama Pespsi au Coca Cola, inadhibitiwa kimataifa. Soda unayokunywa Tanzania inatakiwa kuwa ya kiwango kile kile kama ile utakayokunywa USA au Ulaya. Na tunajua wenzetu wako strict sana kwenye masuala ya viwango.

Tofauti na soda, juice utengenezaji wake ni local - ni kama kila mwenye kiwanda cha juice anaamua aweke madudu gani kwenye juice yake, na usimamizi wa udhibiti wa utengenezaji juice hapa nchini ni dhaifu sana. Inasemekana kuna wakati hata suala la kupitisha standard za juice nchini linafanyika kisiasa, kwa amri kutoka juu - mpeni lebel ya standard huyo - labda tu kwa sababu ni mchangiaji sana wa fedha za chama fulani. Na pia, imethibitika kwamba katika juice nyingi zilizoko madukani, viwango vya kemikali zilizowekwa si sawa na ilivyoandikwa kwenye chupa ya juice.

Na pia tukumbuke kwamba juice zimetengenezwa kukaa hata zaidi ya miaka miwili zikiwa hazijanywewa, wakati mzunguko wa soda ni mdogo sana - ndani ya mwezi mmoja soda zilizotengenezwa zinakuwa zimeisha!

Hivyo ndugu zangu, tafakari sana juu ya soda Vs juice. Ni kweli soda zina tatizo la sukari nyingi - lakini juice matatizo yake ni sukari nyingi pia na madawa kibao yanawekwa bila udhibiti thabiti, hasa katika nchi zetu hizi. Juice nzuri ya wewe kunywa ni ya kutengeneza mwenyewe nyumbani ukitumia matunda fresh!

Kwa mnaoweza kumfikia Prof. Janabi, muulizeni swali la moja kwa moja; kama hapa Tanzania ungelazimika kuchagua kati ya juice ya dukani na soda ili unywe, ungeona angalau uko salama kunywa nini kati ya hivi vitu viwili?
Watoto wenu wapeni hata wine au bia ni bora kuliko juice na soda
 
Kuna vitu unaweza usifanye au ukafanya na bado ukapitia au usipitie haya mambo ni magumu sana 🤔
 
Back
Top Bottom