IMEISHA HIO: Kuomba msamaha kwa Haji Manara sio taarifa njema kwa Simba waliodhani kwamba atasimamishwa, Wembe ni ule ule

IMEISHA HIO: Kuomba msamaha kwa Haji Manara sio taarifa njema kwa Simba waliodhani kwamba atasimamishwa, Wembe ni ule ule

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau,

Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake

Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!

1657040681922.png
 
Kwenye hiyo picha naona watu wawili na nguruwe mweupe
hakuna anaeamua azaliwe vile anavyotaka yeye, ukiona umezaliwa bila tatizo shukuru na usije sahau hujafa hujaumbika, leo hii hata mama yako anaweza kupata ajali sidhani kama utafurahi ukiona watu wanamwita bata kwasababu ya mwendo wake uliosababishwa na kitu ambacho hakupanga.
 
hakuna anaeamua azaliwe vile anavyotaka yeye, ukiona umezaliwa bila tatizo shukuru na usie sahau hujafa hujaumbika, leo hii hata mama yako anaweza kupata ajali sidhani kama utafrahi ukiona watu wanamwita bata kwasababu ya mwendo wake uliosababishwa na kitu ambaho hakupanga
aisee
huyu mtu Mungu amsamehe

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kifupi kaufyata. Hz unazoleta ni porojo porojo za kuulia soo
 
Kifupi kaufyata. Hz unazoleta ni porojo porojo za kuulia soo
Chukulia vyovyote vile lakini maombi yenu ya kwamba Manara atafungiwa sahau.

Kolo ni kama mke kwa Manara, hamuwezi kumpangia amge*ed* vipi, kama mke umechoka inabidi uendelee kuvumilia tu, mambo ya kutaka kukatisha shoo hayawahusu, vumilieni hadi akichoka atawaacha.
 
Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau,

Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake

Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!

View attachment 2281959
Mbona kila mkilikoroga lazima muihusishe Simba? Hiyo zeruzeru wenu ndiye haishi kuitaja taja Simba,lini umeona kiongozi yoyote wa Simba anaitaja Yanga au huyo zeruzeru wenu?
 
Chukulia vyovyote vile lakini maombi yenu ya kwamba Manara atafungiwa sahau.

Kolo ni kama mke kwa Manara, hamuwezi kumpangia amge*ed* vipi, kama mke umechoka inabidi uendelee kuvumilia tu, mambo ya kutaka kukatisha shoo hayawahusu, vumilieni hadi akichoka atawaacha.
Hivi wewe mama una bwana huku Simba, unawashwa saaana na mambo ya Simba?
 
Hawa makolo ndio waelewe namna tulivyokuwa tunapata wakati mgumu dhidi ya Manara,kwasasa ni wakati wao wa kula matunda yao wenyewe
 
Back
Top Bottom