Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Usituleletee Mahubiri Hapa kwani yeye anavyomuita Ahmed Ally mbana pua anadhani Ahmed anapenda kuongea vile?hakuna anaeamua azaliwe vile anavyotaka yeye, ukiona umezaliwa bila tatizo shukuru na usije sahau hujafa hujaumbika, leo hii hata mama yako anaweza kupata ajali sidhani kama utafurahi ukiona watu wanamwita bata kwasababu ya mwendo wake uliosababishwa na kitu ambacho hakupanga.
HUYO NI KITIMOTO TU.