Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
Usituleletee Mahubiri Hapa kwani yeye anavyomuita Ahmed Ally mbana pua anadhani Ahmed anapenda kuongea vile?hakuna anaeamua azaliwe vile anavyotaka yeye, ukiona umezaliwa bila tatizo shukuru na usije sahau hujafa hujaumbika, leo hii hata mama yako anaweza kupata ajali sidhani kama utafurahi ukiona watu wanamwita bata kwasababu ya mwendo wake uliosababishwa na kitu ambacho hakupanga.
Alisindikizwa na mumewe kwenda kuomba msamaha
Mkuu mwogope Mungu, hakuna anaechagua azaliwe vp, kama una watoto wangalie, halafu jiulize wangekuwa kama Manara je ungewaua?Kwenye hiyo picha naona watu wawili na nguruwe mweupe
huyo ni nguruwe tuMkuu mwogope Mungu, hakuna anaechagua azaliwe vp, kama una watoto wangalie, halafu jiulize wangekuwa kama Manara je ungewaua?
Ukipata jibu njoo ufute huu upuuzi,
Hiki ni kiwango cha chini kabisa cha kufikiri, unaheshimika pasipo sababu kumbe wewe ni mpuuzi wa kawaida kabisa?Kwenye hiyo picha naona watu wawili na nguruwe mweupe
Sina muda wa kumshauri Mungu kushughulika na Mpuuzi.
yeah kwani hapo hamna nguruwe?Hiki ni kiwango cha chini kabisa cha kufikiri, unaheshimika pasipo sababu kumbe wewe ni mpuuzi wa kawaida kabisa?
mtoto wako akiwa na ulemavu wa haji ama mama yako angepatwa na ulemavu huo ingefaa tumuite nguruwe ?yeah kwani hapo hamna nguruwe?
sijataja mtu hapo ,mi naona kitimoto na watu wawili,kwani we unaona nini?mtoto wako akiwa na ulemavu wa haji ama mama yako angepatwa na ulemavu huo ingefaa tumuite nguruwe ?
Unauliza makofi police si unaona anavyokaaKwa hiyo ANAPIGWA MANDE?
Acha kuonyesha ujinga wako hadharani.Mambo gani haya unayomwambia mtu.Kwenye hiyo picha naona watu wawili na nguruwe mweupe
Mwenzio ni chawa, na wewe unataka uwe chawa wake! Chawa wa chawa!Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida,