Imekaaje hii, hotelini mzungu kampa paka samaki mkubwa

Mimi mwenyewe huwa namkaangia hadi mayai plus kumnunulia samaki watu wakija wanashangaa utazini paka hastahili kula vitu vizuri afu wanaume wanaopenda wanyama huwa wana mapenzi ya dhati kwa wake zao au wapenzi
weka picha mkuu
 
UNAPIGA KELELE UMENUNUA WEWEE??
USISEME HATUNA SEMA SINA
 
Aisee! Ni sawa na ile kauli tu "Ukimuona paka kwenye sherehe usimfukuze, pengine kilichompeleka yeye ndicho kilichokupeleka wewe"
Hebu kuwa binaadam basi kweli unamuonea wivu hadi paka wakati nyote mmepewa ofa!?
 
Usishangae bwana hii ndo dunia pitbull ana paka wake ambaye kwa siku bajeti yake ya msosi ni dola 1100

Ibadilishe kwa fedha za kibongo bongo ndo ujue mdhungu ni ntu wa aina gani
 
Paka na mbwa wanaachiwa mpaka urithi wa nyumba, achilia mbali samaki.
 
Ni ujasusi umetumika hapo.

In case chakula kina sumu mzungu angekuwa safe. Ndio maana alikuwa ana-buy time kumchezea manyoya wakati anakula.

Fikiria mara mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…