Imekaaje hii, hotelini mzungu kampa paka samaki mkubwa

Inaonyesha jinsi gani ulivyo na hasira ukizingatia maisha ni magumu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwao chakula ni kitu cha kawaida ila kwa masikini chakula ni mali....
 
paka huwaga hana time na mtu mkuu, bora mbwa hata uwe maskini atakuona wewe bado mungu wake
Mwana Mimi namjua Demu mmoja amefuga paka ndani,ukiingia mle ndani yule nyau hataki kabisa umsogelee yule Demu,atakungata tu na kukuumiza na makucha yake, tena usiku ndo kabisa yule Demu akiwa amelala nyau humkalia karibu sasa ole wako umsogelee
 
Aiseee!

Yaani we umepewa ofa halafu unamwonea wivu paka ambaye naye kapewa ofa, itakuwa nawe ulitamani kupapaswa manyoya!!

Jiepushe na ofa bwa’mdogo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
 
Sasa wewe na paka mna tofauti gani?
Mzungu kaamua kumpa msosi paka na rafiki yako kaamu kukupa msosi wewe.

Sasa nashangaa kwa nini wewe umwonee wivu mwenzio wakati kila mtu katolewa out na rafiki yake.huo ni ulafi.umemfanya mpaka jamaa yako aone wewe ni mchoyo na mlafi.
 
tukamona waiter anamplelekea samaki mbili kubwa kiasi, tukataniana mzungu ana njaa kali.
Mkuu siku nyingine usiseme "samaki mbili" bali sema samaki wawili, unatupa taabu sana sisi tuliosoma Kiswahili!
 
Duh, JF hivi haya majibu wakuu mnayatoaga wapi? Nimecheka sana wadau mnavyomshuku!!
 
Aiseee!

Yaani we umepewa ofa halafu unamwonea wivu paka ambaye naye kapewa ofa, itakuwa nawe ulitamani kupapaswa manyoya!!

Jiepushe na ofa bwa’mdogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kum*mae
 
Kwa wenzetu wnyama wanapew respect kam binadamu kwaiyo hyo isikuchoshe
 
Jamaa unatamani kua paka wa mzungu [emoji3][emoji3] CCM oyeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…