George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Nimepita sehemu nimekuta jamaa katolewa vyombo na mama mwenye nyumba. Jamaa amekuta vitu vimenyeshewa na mvua.
Wanasheria, imekaaje hii?
Wanasheria, imekaaje hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko mvua zinanyesha mwezi huu?Nimepita sehemu nimekuta jamaa katolewa vyombo na mama mwenye nyumba. Jamaa amekuta vitu vimenyeshewa na mvua.
Wanasheria, imekaaje hii?
Ilikuwa maeneo ya Kibaha.Wapi huko mvua zinanyesha mwezi huu?
Sawa, hayo yote uliyouliza siyaelewi kwasababu nilikuwa mpita njia. Lakini pia nafikiri kuna utaratibu wa kumtoa mpangaji kwenye nyumba yako. Vipi kama yule mpangaji angesema kulikuwa na pesa kiasi fulani kwenye chumba chake na hizo pesa hazionekani baada ya mwenye nyumba kutoa vitu vyake?Sasa kama ameshindwa kulipa kodi na huenda kaleta jeuri. Unataka mwenye nyumba afanyaje? Nyumba nijenge mwenyewe kwa pesa zangu harafu uniletee jeuri. Tambua baba mwenye nyumba ana akili timamu hawezi kutoa vitu nje tu bila mfarakano na mpangaji.
DuhIlikuwa maeneo ya Kibaha.