Imekaaje Hii, miaka yote Toni Kroos anavaa viatu Aina moja TU kila mechi?

Imekaaje Hii, miaka yote Toni Kroos anavaa viatu Aina moja TU kila mechi?

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Mfatilie vizur uyu Jamaa Toni kroos,

Tangu nmeanza kumfatilia akiupiga mwingi kwenye ile world cup ya 2014,
na viatu Hivi Hivi akiwa Bayern mpaka anahamia madrid. Uyu Jamaa Hajawai kabisa kubadili viatu kila mechi.
images-942.jpg
images-942.jpg
images-944.jpg
images-940.jpg
images-945.jpg
images-946.jpg
images-947.jpg
dyp5dt.jpg
images-949.jpg
 
Ngoja waje kutupa muongozo.

Au nenda kakomenti hili swali lako kwenye post yake yeyote huko Twitter anaweza akatupatia majibu
 
Mwenyewe anasema hivyo viatu hutumia kwenye special occassions tu
 
Juzi kati aliulizwa kuhusiana na jambo hilo ila alisema hivyo viatu huwa anavaa kwenye mechi maalumu na muhimu zaidi

Anaamini hiyo ni pair ya kiatu yenye bahati zaidi katika maisha yake ya soka
 
Alisema anavaa kwenye final tu kama UEFA champions league final au world cup final kwani ndo vilimpa UEFA 2014 na world cup .
 
Hana Hela ya kununua njumu huyu mlevi Sana na mademu kwa sana

We mtoto wa juzi hujuwi njumu ila SS wazee Cha ndimu tunajua njumu ndo nn.(njumu viatu vya kuchezea mpira au six meno)
Watoto dsm tunajuaga sana neno njumu🤣🤣 labda wa mikoani ndiyo ukakasi
 
Back
Top Bottom