Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadanganya,Juzi kati aliulizwa kuhusiana na jambo hilo ila alisema hivyo viatu huwa anavaa kwenye mechi maalumu na muhimu zaidi
Anaamini hiyo ni pair ya kiatu yenye bahati zaidi katika maisha yake ya soka
Una uhakika umemfatilia au umeona sehemu hii hbr nawe ndio ukaileta hp? Dunia ipo kiganjani hii!Mfatilie vizur uyu Jamaa Toni kroos,
Tangu nmeanza kumfatilia akiupiga mwingi kwenye ile world cup ya 2014,
na viatu Hivi Hivi akiwa Bayern mpaka anahamia madrid. Uyu Jamaa Hajawai kabisa kubadili viatu kila mechi.
View attachment 2250382View attachment 2250383View attachment 2250386View attachment 2250387View attachment 2250389View attachment 2250390View attachment 2250392View attachment 2250395View attachment 2250396
Kuna ubaya juu ya Hilo?Una uhakika umemfatilia au umeona sehemu hii hbr nawe ndio ukaileta hp? Dunia ipo kiganjani hii!
KaboGmashariti ya mganga wajeruman ni wa shirikina sana
Hii ni injini ya kijerumani yenye 6 pistons! Hata ikiamua kuvaa ndala iachwe tu!Mfatilie vizur uyu Jamaa Toni kroos,
Tangu nmeanza kumfatilia akiupiga mwingi kwenye ile world cup ya 2014,
na viatu Hivi Hivi akiwa Bayern mpaka anahamia madrid. Uyu Jamaa Hajawai kabisa kubadili viatu kila mechi.
View attachment 2250382View attachment 2250383View attachment 2250386View attachment 2250387View attachment 2250389View attachment 2250390View attachment 2250392View attachment 2250395View attachment 2250396
Ana mkatba na hao jamaaMfatilie vizur uyu Jamaa Toni kroos,
Tangu nmeanza kumfatilia akiupiga mwingi kwenye ile world cup ya 2014,
na viatu Hivi Hivi akiwa Bayern mpaka anahamia madrid. Uyu Jamaa Hajawai kabisa kubadili viatu kila mechi.
View attachment 2250382View attachment 2250383View attachment 2250386View attachment 2250387View attachment 2250389View attachment 2250390View attachment 2250392View attachment 2250395View attachment 2250396
Hujaelewa mada mkuu, issue sio kuwa na mkataba Bali issue ni kuvaa toleo la Adidas la zamani, hizo njumu unazoona ni toleo la 2014 na leo tupo 2022 na kila mwaka Adidas wanatoa matoleo mapyaAna mkatba na hao jamaa
Umenikumbusha kitu hahahh,kipindi cha masomo na mitihani huwa nina kalamu zangu hizo,yaani siku ya Kwanza kuingia darasani hadi tunafunga shule mimi utanikuta na peni za aina moja tu, nikitumia nyingine nahisi kabisa kuna kitu kimepungua sometimes naziita kalamu zangu za bahati...Huyu ni kama mimi ila ni nje ya mada kidogo.
Mimi nilivokuwa chuo nilikuwa nakaa siti ileile kwenye hall tofauti tofauti hata iwaje. Nikiingia chumba mfano m1 basi nitakaa siti ileile hivyohivyo m2 na kuendelea sibadilishi.
Pia kipindi cha ue kuna nguo zangu nilikuwa navaa hiyo pair bila kubadilisha kitu mpka mitihani inaisha.
Afu me sionagi shida kunununua hata nguo pair tatu zinazofanana kila kitu.
Basi sijui kwa nini..
Kama mm Nina surual nlionunua ambayo navaa kila nkienda tongoza demu mpyaUmenikumbusha kitu hahahh,kipindi cha masomo na mitihani huwa nina kalamu zangu hizo,yaani siku ya Kwanza kuingia darasani hadi tunafunga shule mimi utanikuta na peni za aina moja tu, nikitumia nyingine nahisi kabisa kuna kitu kimepungua sometimes naziita kalamu zangu za bahati...