Labda ni analipwa na watengenezajimashariti ya mganga wajeruman ni wa shirikina sana
hakuna huo ni uchawi kwa sisi wachezajiLabda ni analipwa na watengenezaji
Njumu ndo nini?Hana Hela ya kununua njumu huyu mlevi Sana na mademu kwa sana
Kiliko nyie wamakunduchi?mashariti ya mganga wajeruman ni wa shirikina sana
hao jamaa ni balaaKiliko nyie wamakunduchi?
We mtoto wa juzi hujuwi njumu ila SS wazee Cha ndimu tunajua njumu ndo nn.(njumu viatu vya kuchezea mpira au six meno)
Watoto dsm tunajuaga sana neno njumu🤣🤣 labda wa mikoani ndiyo ukakasiHana Hela ya kununua njumu huyu mlevi Sana na mademu kwa sana
We mtoto wa juzi hujuwi njumu ila SS wazee Cha ndimu tunajua njumu ndo nn.(njumu viatu vya kuchezea mpira au six meno)