Imekaaje kampuni ya kutoa huduma ya mawasiliano kutokuwa na kitengo cha huduma kwa wateja?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Naona Vodacom wame amua kutoa huduma za customer service za moja kwa moja yaan namba 100.

Na TCRA wapo kimyaaa, jamaa nawapigia kuwapa taarifa wafunge namba yangu imeibiwa usiku huu ila ajabu ukipiga simu namba 100 kuna option 2 tu ni either uchague 1 au 2 na zote izo hupati nafasi ya kiongea na mtu wa huduma kwa wateja

Sasa hili jambo sio fair kabisa #Vodacom Tanzania embu rejesheni izi huduma.


Huu upuuzi sanaa Vodacom Tanzania
 
Huu ujinga ndo ulinitoa voda naenjoy tigo.
Sijui ni mtaalam wa aina gani aliwapa huu ushauri hadi kwenye m pesa.
Nadhan wamevimbiwa faida.
 
2-2-6-2-0

Samahani nimetumia kingereza maana mimi ndicho huwa natumia ili kuwapata haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…