Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 8,870 Reaction score 14,258 May 16, 2021 #41 JokaKuu said: View attachment 1776026 KENZY, ..unamuona Rais Chakwera wa Mlw alipotembelea Tz alipewa MPAMBE toka Jwtz? ..kilichotokea kwa Mama Samia alipokwenda Kny na kupewa mpambe toka Kdf ni jambo la kawaida. Click to expand... Kimantiki inakuja hiyo.Mfano pametokea jambo hatarishi la kiusalama,huyo mpambe wa raisi atakuwa anasikia kirahisi amri za askari wa usalama wenzake kwa code walizojitengenezea.Na hii itamrahisishia yeye kumlinda mgeni kwa wepesi.
JokaKuu said: View attachment 1776026 KENZY, ..unamuona Rais Chakwera wa Mlw alipotembelea Tz alipewa MPAMBE toka Jwtz? ..kilichotokea kwa Mama Samia alipokwenda Kny na kupewa mpambe toka Kdf ni jambo la kawaida. Click to expand... Kimantiki inakuja hiyo.Mfano pametokea jambo hatarishi la kiusalama,huyo mpambe wa raisi atakuwa anasikia kirahisi amri za askari wa usalama wenzake kwa code walizojitengenezea.Na hii itamrahisishia yeye kumlinda mgeni kwa wepesi.