Imekaaje Rais kubadilishiwa msaidizi tena ugenini?

Imekaaje Rais kubadilishiwa msaidizi tena ugenini?

View attachment 1776026

KENZY,

..unamuona Rais Chakwera wa Mlw alipotembelea Tz alipewa MPAMBE toka Jwtz?

..kilichotokea kwa Mama Samia alipokwenda Kny na kupewa mpambe toka Kdf ni jambo la kawaida.
Kimantiki inakuja hiyo.Mfano pametokea jambo hatarishi la kiusalama,huyo mpambe wa raisi atakuwa anasikia kirahisi amri za askari wa usalama wenzake kwa code walizojitengenezea.Na hii itamrahisishia yeye kumlinda mgeni kwa wepesi.
 
Back
Top Bottom