Imekaaje?

Imekaaje?

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,970
Boyfriend: I luv you sweet baby.

Girlfriend: Thanks so much.

Mh!
 
imekaa kimtego. Anashukuru kwa kupendwa lakini yeye (girlfriend) hampendi mwanaume
 
sio wote lugha inapanda,usimuhukumu dada wa watu bure...
ungemuambia nakupenda,afu uone atajibuje?:embarrassed:
 
halafu inategemea anampenda kuanzia wapi dada amemshtukia
 
Kwayo alitakiwa ajibu
" I luv u too babe" :A S-alert1:
 
Boyfriend: I luv you sweet baby.

Girlfriend: Thanks so much.

Mh!
Ana bahati huyo kajibiwa na hiyo thanks,kuna jamaa alishasema kama hivyo kwa GF wake akaambiwa si bora nipendwe na mbwa, kuliko nyani kama wewe.
 
Back
Top Bottom