Imekaeje hii Wanajamviii!!!

Imekaeje hii Wanajamviii!!!

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Yaan mwanenu Kwa Huyu Gf Wangu Dah! navumilia 2 Mikwaruzo Kwa Moyo Mpaka Basi!!!
Samahan Wakuu polen Kwa Mishe Na Salam Kwenu Nyote.

Hv Imekaeje Mpenz Wako Haspokudekea?
Maana Huyu Gf Wangu Niwapo Nae Au 2kiwa 2natalk Kwa Phone Hanidekei,
Tofaut Na My X ambae Alikuwa Ananidekea Mpaka Najiona uniq Kwenye Hl Gurudumu La Madavee
Tym Nyng Nakwazka Pind Niwapo Na Huyu Wa Sasa.

Imekaeje Hii Wakuu inawezekana Kuna Njemba Anamdekea Nini?
Toen Tathmin Za Wenza Wenu Tafadhar!
Natangulza Shukran!
 
Ukitaka JF i-shine basi nyimamadogookumangaa eheee nyimamadogookumanga!
 
Kwa hiyo ukidekewa wewe buruudaniiii..mwambie sasa!
 
Kweli maisha ni ubatili na kujilisha upepo!
Wakati wengine wakidekewa wanakasirika kabisa na kuwa wakali kama pilipili, here is one ambae hadekewi na anakwazika kwa hilo!

Pole mwaya. Deka wewe utapata kitu roho inataka!
 
Ahsante Mwaya
Nikdekewa Miye kwangu Mahaba Tosha!
 
Yaan mwanenu Kwa Huyu Gf Wangu Dah! navumilia 2 Mikwaruzo Kwa Moyo Mpaka Basi!!!
Samahan Wakuu polen Kwa Mishe Na Salam Kwenu Nyote.

Hv Imekaeje Mpenz Wako Haspokudekea?
Maana Huyu Gf Wangu Niwapo Nae Au 2kiwa 2natalk Kwa Phone Hanidekei,
Tofaut Na My X ambae Alikuwa Ananidekea Mpaka Najiona uniq Kwenye Hl Gurudumu La Madavee
Tym Nyng Nakwazka Pind Niwapo Na Huyu Wa Sasa.

Imekaeje Hii Wakuu inawezekana Kuna Njemba Anamdekea Nini?
Toen Tathmin Za Wenza Wenu Tafadhar!
Natangulza Shukran!

Kweli siku hizi hii JF!!!!!!! Yaani mpaka hili nalo tuna anzisha thread? Nami naanzisha hivi kwanini GF wangu sijamsikia akijamba? Hebu jamani wazoefu nielezeeni!! nateseka mwenzenu sijamsikia....:yawn:
 
Duh!bwahahahahahah...
 
Kweli maisha ni ubatili na kujilisha upepo!
Wakati wengine wakidekewa wanakasirika kabisa na kuwa wakali kama pilipili, here is one ambae hadekewi na anakwazika kwa hilo!

Pole mwaya. Deka wewe utapata kitu roho inataka!

Umeniwahi kusema hili..
Inabidi kama vp yeye ndo adeke..
Utamu wa pip mate yako..
 
sasa kwann ulimuacha aliyekua anakupa raha???,,vunja ukimya mwambie na akikudekea sana ucrudi kuomba ushauri
 
Yaan mwanenu Kwa Huyu Gf Wangu Dah! navumilia 2 Mikwaruzo Kwa Moyo Mpaka Basi!!!
Samahan Wakuu polen Kwa Mishe Na Salam Kwenu Nyote.

Hv Imekaeje Mpenz Wako Haspokudekea?
Maana Huyu Gf Wangu Niwapo Nae Au 2kiwa 2natalk Kwa Phone Hanidekei,
Tofaut Na My X ambae Alikuwa Ananidekea Mpaka Najiona uniq Kwenye Hl Gurudumu La Madavee
Tym Nyng Nakwazka Pind Niwapo Na Huyu Wa Sasa.

Imekaeje Hii Wakuu inawezekana Kuna Njemba Anamdekea Nini?
Toen Tathmin Za Wenza Wenu Tafadhar!
Natangulza Shukran!

hahaa, wewe unataka ma bebi bebi, mengi nn?
 
Back
Top Bottom