Imekuaje leo joto limepotea ghafla Dar es salaam

monotheist

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
830
Reaction score
1,449
Hii mvua ya leo imekuja na upepo wenye unyevu wa baridi hadi raha hali hii ya hewa kwa leo inatusahaulisha machungu ya joto kali hapa jiji Dar
Natamani hali ya hewa iendelee kuwa hivi ili itupunguzie machungu ya joto kali
 
leo ni siku ya kupelekeana moto!!!!"fireeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee"!!!!
 
Hii mvua ya leo imekuja na upepo wenye unyevu wa baridi hadi raha hali hii ya hewa kwa leo inatusahaulisha machungu ya joto kali hapa jiji Dar
Natamani hali ya hewa iendelee kuwa hivi ili itupunguzie machungu ya joto kali
Hali ya Hewa ya hv Iko sana Iringa

Hii upelekea kuchoma Kwa sana vitu vikali kama mvutaji
 
Ukiona joto jingi ujue ni mfumo wa kuandaa mvua. Joto linapeleka mvuke juu angani na badaye ndiyo inakuwa mvua.
 
Hii mvua ya leo imekuja na upepo wenye unyevu wa baridi hadi raha hali hii ya hewa kwa leo inatusahaulisha machungu ya joto kali hapa jiji Dar
Natamani hali ya hewa iendelee kuwa hivi ili itupunguzie machungu ya joto kali
Hali ya hewa saafi kabisa leo
 
Hii mvua ya leo imekuja na upepo wenye unyevu wa baridi hadi raha hali hii ya hewa kwa leo inatusahaulisha machungu ya joto kali hapa jiji Dar
Natamani hali ya hewa iendelee kuwa hivi ili itupunguzie machungu ya joto kali
Leo kila K ninayoiomba naambiwa niilipie Tsh 20,000/ hadi Tsh 15,000/ wakati Mimi nimezoea za Tsh 1,000/ na Tsh 1,500/ tu. Sijui itakuwaje na Punyeto nilishastaafu Miongo Miwili.
 
Kuna mtu hapa kavaa hadi sweta
Nawashangaa..
hii nayo ni baridi? Mnazingua wakuu
Sasa atavaaje wakati Dar joto kali so mvua kidogo tu unatoka na sweta lako🤣
 
Nimevaa nguo nyepesi
Wananiuliza husikii baridi?
Wao wamejivika misweta
Nawashangaa,, nawajibu tu hawako serious na maisha 🤣
Hii sio baridi ya kuvalia sweta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…