Imekuaje leo joto limepotea ghafla Dar es salaam

Imekuaje leo joto limepotea ghafla Dar es salaam

Nimevaa nguo nyepesi
Wananiuliza husikii baridi?
Wao wamejivika misweta
Nawashangaa,, nawajibu tu hawako serious na maisha 🤣
Hii sio baridi ya kuvalia sweta.
Hebu jipige picha niione hiyo nguo nyepesi😋
 
Naomba kuuliza, kinachosababisha joto Dar es Salaam huwa ni nini?

Kuna mtu aliniambiaga ni bahari! Swali, je, miji yote iliyopo pwani ya bahari ya Hindi kwa upande wa Tanzania na East Afrika kwa ujumla kuna joto?
 
Wana jiographia wanakuja kung'amua swali lako boss
 
Hii hali ya hewa siipendi kabisa, dar lake jua na joto kali.

Hizi baridi ziende mbeya na njombe huko
 
Nimevaa nguo nyepesi
Wananiuliza husikii baridi?
Wao wamejivika misweta
Nawashangaa,, nawajibu tu hawako serious na maisha 🤣
Hii sio baridi ya kuvalia sweta.
Chaa, leo kuna baridi bwana😂😂
 
Back
Top Bottom