Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,789
hiyo hata sijui ni nini maana imewakumba wengi na mpaka sasa hamna mwenye jibu ila aangalie tena baada ya siku kadhaa maana wapo baadhi walirudishiwa matokea yao ya mwanzo baada ya mkanganyiko huo sijui tatizo ni nini
Wakuu,
Mimi binafsi hii kitu imenichanganya sana.
Kuna jamaa alimaliza huo mwaka sasa alipata D, E kwa baadhi ya masomo yake lakini cha kushangaza TCU system inamsoma kwenye D ni B+ na kwenye E ni B ivi imekuwaje?
hata hivyo D ya nyuma ni sawa na B+ ya sasa.
Sii kweli, Ungesema kidogo D=C au C=B+ ningekuelewa lakini D to B+ hapa kuna ualakini
upande wa Kidato cha Sita Baraza lilitumia
mfumo wa A = 80 – 100; B = 75 - 79; C =
65 – 74; D = 55 – 64; E = 45 – 54; S = 40 –
44 na F = 0 – 39. kwahiyo aliepata 64 alihesabika ana D sasa hivi 64 ni B+ unabisha nini?
Mkuu
Kama itakuwa ni kweli sina ubishani tena>
Elimu imekufa.
Source ya information
upande wa Kidato cha Sita Baraza lilitumia
mfumo wa A = 80 100; B = 75 - 79; C =
65 74; D = 55 64; E = 45 54; S = 40
44 na F = 0 39. kwahiyo aliepata 64 alihesabika ana D sasa hivi 64 ni B+ unabisha nini?
mkuu umepotosha jamii huwa tulikuwa kuna rank hivi: A=75-100, B=65-74, C=55-64, D=45-54, E=36-44, S= 29-35, 0-28 F.
hata hivyo D ya nyuma ni sawa na B+ ya sasa.
mkuu umepotosha jamii huwa tulikuwa kuna rank hivi: A=75-100, B=65-74, C=55-64, D=45-54, E=36-44, S= 29-35, 0-28 F.
Acha uongo wewe
Kama D ya zamani ni B+!!
Ina maana C ya zamani ni A au ?
Tusidanganyane guide book imecompare grade mpya na zamani hivi.
Old grade. New grade.
D. C