Imekuaje matokeo ya Form Six mwaka 2013 kurudi nyuma

Imekuaje matokeo ya Form Six mwaka 2013 kurudi nyuma

Kizzy Wizzy

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2013
Posts
3,280
Reaction score
3,789
Wakuu,

Mimi binafsi hii kitu imenichanganya sana.

Kuna jamaa alimaliza huo mwaka sasa alipata D, E kwa baadhi ya masomo yake lakini cha kushangaza TCU system inamsoma kwenye D ni B+ na kwenye E ni B ivi imekuwaje?
 
hiyo hata sijui ni nini maana imewakumba wengi na mpaka sasa hamna mwenye jibu ila aangalie tena baada ya siku kadhaa maana wapo baadhi walirudishiwa matokea yao ya mwanzo baada ya mkanganyiko huo sijui tatizo ni nini

Mkuu unaposema baadhi unamaanisha sio wote matokeo yao yalirudi kama awali....?
 
Wakuu,

Mimi binafsi hii kitu imenichanganya sana.

Kuna jamaa alimaliza huo mwaka sasa alipata D, E kwa baadhi ya masomo yake lakini cha kushangaza TCU system inamsoma kwenye D ni B+ na kwenye E ni B ivi imekuwaje?

hata hivyo D ya nyuma ni sawa na B+ ya sasa.
 
Sii kweli, Ungesema kidogo D=C au C=B+ ningekuelewa lakini D to B+ hapa kuna ualakini

upande wa Kidato cha Sita Baraza lilitumia
mfumo wa A = 80 – 100; B = 75 - 79; C =
65 – 74; D = 55 – 64; E = 45 – 54; S = 40 –
44 na F = 0 – 39. kwahiyo aliepata 64 alihesabika ana D sasa hivi 64 ni B+ unabisha nini?
 
Mkuu

Kama itakuwa ni kweli sina ubishani tena>
 
upande wa Kidato cha Sita Baraza lilitumia
mfumo wa A = 80 – 100; B = 75 - 79; C =
65 – 74; D = 55 – 64; E = 45 – 54; S = 40 –
44 na F = 0 – 39. kwahiyo aliepata 64 alihesabika ana D sasa hivi 64 ni B+ unabisha nini?

mkuu umepotosha jamii huwa tulikuwa kuna rank hivi: A=75-100, B=65-74, C=55-64, D=45-54, E=36-44, S= 29-35, 0-28 F.
 
Kama D ya zamani ni B+!!
Ina maana C ya zamani ni A au ?
Tusidanganyane guide book imecompare grade mpya na zamani hivi.

Old grade. New grade.
D. C
 
Kama D ya zamani ni B+!!
Ina maana C ya zamani ni A au ?
Tusidanganyane guide book imecompare grade mpya na zamani hivi.

Old grade. New grade.
D. C

raia wengine google inawapeleka chaka, sijui wanachek za site na nch gan, gd book ata ya mwaka jana ilionesha old na new grading system, sasa mtu mwingine sijui anatoa wapi info.
 
Back
Top Bottom