imekuaje ngome ya upinzani imenyoosha mikono

imekuaje ngome ya upinzani imenyoosha mikono

strongest

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,562
kwa Tanzania kuna jamii ya watu X hawa jamaa walikua ni wapenda mabadiliko since day one

reflection yake ni kweli kwenye uchumi wao binafsi somehow ndo wanaongoza /wapo vizuri.

cha kushangaza miaka ya hivi karibuni ni kama wame surrender na kuunga mkono juhudi za CCM .

nilitamini sana kuona generation ya wanaume jasiri na wapenda mabadiliko kama miaka ya
1990---2010.

sasa ivi woteee ni ccm. na kinachokuja kutokea ni samia atashinda kwa 90+%.

future generations ipo hatarini
 
Tulieni, kawaida ya Dawa ni kuingia taratibu!!!!
 
Back
Top Bottom