Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Tiffah Dangote, alipata fursa ya kutoa pongezi na kueleza furaha yake kubwa ya kupata mdogo wa kike baada ya kusubiri kwa muda mrefu.
"Congratulations on the baby. Now I have a baby sister, it's been like a long time I wanted them. And I'm gonna play with her like all the time and I'll take care of her." She said
=====================
"Hongereni kwa mtoto. Sasa nina mdogo wa kike, imekuwa muda mrefu sana nilikuwa nawatamani. Na nitakuwa nacheza naye kila wakati na nitamlea/nitamtunza." Amesema hayo Tiffa Dangote