Imekuwa serious sasa, ishu ya dada aliyebakwa imefika hadi BBC Swahili

Imekuwa serious sasa, ishu ya dada aliyebakwa imefika hadi BBC Swahili

Police muda wote wanachunguza nini?

Hao wahuni waliombaka huyo Binti waliji record wanasema walitumwa na askari.

Sasa huyo askari si akamatwe apelekwe mahakamani Binti apate haki yake.
 
Police wawakamate hao wahusika wote washitakiwe Binti apate haki.

Yaani mtoto mdogo hivi abakwe na wanaume watano
 
Back
Top Bottom