Imekuwa serious sasa, ishu ya dada aliyebakwa imefika hadi BBC Swahili

Imekuwa serious sasa, ishu ya dada aliyebakwa imefika hadi BBC Swahili

Nipo naangalia star tv hapa dira ya dunia BBC swahili. Habari ya binti aliyebakwa imeshasambaa sasa hadi nje ya mipaka ya Tanzania, jeshi inabidi lifanye kitu kujisafisha aise aibu sana hii.
Ya yule RC wa Simiyu iliyeyuka na hii ya huyu Cpt itayeyuka
 
jeshi la polisi limeshatoa ufafanuzi

hivi vyombo vya kibeberu huwa vinaingiza chokochoko za vita kiuchumi ndugu
We Kama huna Akili,Beberu limekujaje na Habari imeripotiwa na BBC kutoka vyanzo vyetu.

Acha kukariri mambo dogo
 
jeshi la polisi limeshatoa ufafanuzi

hivi vyombo vya kibeberu huwa vinaingiza chokochoko za vita kiuchumi ndugu
Je UVCCM.......na wao wanaleta chokochoko......tafakari mkuu, angekuwa dada yako kafanyiwa hivyo ungeandika hivyo?
 
Kwahiyo ili jambo lisimamiwe kikamilifu mpaka wazungu waone? hizi elements za kuwaabudu wazungu hazitaisha nadhani hii iitwe mental illness
 
Watatuharibia kwa wazungu tutakua hatupati misaada kama taifa
 
Back
Top Bottom