- Thread starter
- #21
Nimedadisi hadi nimepata sababu ya Mbuge kukumbukwa. MALIPO YA LIKIZORoho mbaya tu zao jamaa ni mpiga Kaz haswa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimedadisi hadi nimepata sababu ya Mbuge kukumbukwa. MALIPO YA LIKIZORoho mbaya tu zao jamaa ni mpiga Kaz haswa
maokoto is 🤧🤧Leo shemeji yangu mjeshi kanitembelea lakini muda wote ni kumtaja boss wao wa zamani kuwa angekuwepo nao leo hii wangekuwa na tabasamu kama majirani zao Jw. Nimejaribu kumdadisi kulikoni lakini hataki kufunguka zaidi ya kutoa tu sifa kwa Brigedia Mbuge kuwa laiti angekuwepo bado. Nimewaza huendi kakosa zile bia zao lakini sina uhakika. Nadhani kuna haja kitengo kijaribu ku dig down.
Bado mbiliMeja general Mbuge, bado rank moja awe General kamili
Inaonekana Mwamba angekuwa hai Jamaa angekuwa CDF saiviBado mbili
Luteni general then general