Imekuwaje Fei, Tshabalala na Kapombe nje stars?

Haitaji elimu kubwa kujua kubwa fai toto anadrop kwa kasi kubwa sana
Halafu huyu ndio alikuwa anataka alipwe sawa na Aziz Ki. Mechi na Waethiopia anapewa apige mpira wa faulo anapiga as if ana wenge kichwani (angekuwa bado yupo kwenye cheo chake Jenerali Ole Sabaya tungemwomba amtoe wenge), haieleweki anatoa pasi au anapiga moja kwa moja.
 
Aahahaaa,dah
 
uwezo wao umeshuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…