Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Halafu huyu ndio alikuwa anataka alipwe sawa na Aziz Ki. Mechi na Waethiopia anapewa apige mpira wa faulo anapiga as if ana wenge kichwani (angekuwa bado yupo kwenye cheo chake Jenerali Ole Sabaya tungemwomba amtoe wenge), haieleweki anatoa pasi au anapiga moja kwa moja.Haitaji elimu kubwa kujua kubwa fai toto anadrop kwa kasi kubwa sana