#COVID19 Imekuwaje Kiwanda cha chanjo ya Covid-19 kijengwe Kenya ilihali ilitangazwa kingejengwa Tanzania?

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,048
Reaction score
22,790
Imekuwaje Kiwanda cha chanjo ya Covid kimepelekwa Kenya ilihali mama akiwa Ulaya alitangaza kuwa kitajengwa Tanzania. Je wajenzi walimdanganya au hakusikia vizuri?

Je, aliambiwa kitajengwa karibu na Tanzania, yeye akachukulia kuwa kitajengwa Tanzania?
 
Tanzania hakuna soko la chanjo kama Kenya. Watu wengi hawakuhamasika kupata chanjo ndio maana husikii public report ya chanjo zilizotumika.

Wawekezaji wanataka faida.
 
The president doesnt understand it? Ng'eng'e.
 
Mlima Kilimanjaro uko Kenya ni sawa tu acha wajenge huko huko.

Miaka fulani Hayati Reginald Mengi (RIP) alipofiwa na mwanawe Motie kwa shida ya moyo (japo inasemekana na mengine yalikuwepo ) aliamua ajenge hospital ya moyo.

Hata foundation ilikuwa tayari, akawekewa zengwe la maana akashindwa kuendelea.

Acha wajenge hiyo ya covid huko huko tutavuka kuchanja anyway.
 
Dah!...hii hospital haikukamilika?
 
Kingejengwa Tanzania ungekuja kuponda humu kuwa tunataka kuletewa magonjwa

Nyie hamueleweki ndo mana mnaitwa pingapinga fc Au malalamiko fc
 
Tanzania hakuna soko la chanjo kama Kenya. Watu wengi hawakuhamasika kupata chanjo ndio maana husikii public report ya chanjo zilizotumika.

Wawekezaji wanataka faida.
Wabongo ni watu wa misimamo kwenye ishu wasizozielewa vizuri,sio waoga km Wakenya.Wakenya waoga sana walikubali chanjo haraka sana bila kuhoji undani wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…