Imekuwaje Simba wameweza kumvumilia Manula?

John Gregory

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2019
Posts
1,137
Reaction score
2,147
Binafsi huwa sitazami mechi za Simba SC ila baada ya kuangalia mpira wa stars leo kwakweli nimeona utofauti kati ya Diarra na Manula ni mbingu na ardhi!

Yaani leo nimejua ni nini maana ya kipa!. Sijazoea kabisa kuona makosa ya hovyo kiasi hiki, kipa kutema mipira ambayo alipaswa kuidaka, hususan unapocheza na wapinzani hatari kama morroco! Au huyu kipa anaumwa mikono?

Hivi mashabiki wake wamewezaje kuishi naye? Haya ni mambo ambayo mashabiki wengi hususan wa Yanga hawajazoea kabisa!

Kuna mashuti unapaswa uukumbatie mpira kwa nguvu japo inatokea mara kadhaa unatema ila unahakikisha unafanya clearance, lakini hili shati linatema mipira anayopaswa kudaka/kukumbatia.

Leo nimejua!
 
Binafsi huwa sitazami mechi za Simba sc ila baada ya kuangalia mpira wa stars leo kwakweli nimeona utofauti kati ya Diarra na Manula ni mbingu na ardhi!

yaani leo nimejua ni nini maana ya kipa!. Sijazoea kabisa kuona makosa ya hovyo kiasi hiki, kipa kutema mipira ambayo alipaswa kuidaka, hususan unapocheza na wapinzani hatari kama morroco! Au huyu kipa anaumwa mikono?

Manula bado hanapona ni vile mpira wetu una mambo mengi
 
Unataka kusema Air Manula ndiyo sababu ya Taifa stars kufungwa 3 kwa buyu..?

Kubali kuwa Taifa stars ni timu mbovu sana na tunaweza kumaliza mwendo tukiwa na zero point.
Siyo Diara tu, jana hata kipa wa Morocco angedaka upande wetu, bado tungefungwa tu.

Siyo kila mpira kipa anaweza kuudaka directly, kuna mashuti mengine ni ya moto.

Alafu acha unaa wewe, unasema huangaliagi mechi za Simba Sc...ila za Yanga unaagalia au..?
Ok...ile ya Simba 1 na Yanga 5, hukuangalia pia...?
Hata short clips..?.

Kwa timu hii ya Tanzania, CAF hata wakiruhusu golini wakae makipa wa 3 wa kukodi.. yaani aje huyo Diara, kipa wa Morocco na kipa wa Man City..... bado hatutoboi ng'o....
 
Binafsi huwa sitazami mechi za Simba SC ila baada ya kuangalia mpira wa stars leo kwakweli nimeona utofauti kati ya Diarra na Manula ni mbingu na ardhi!

Yaani leo nimejua ni nini maana ya kipa!. Sijazoea kabisa kuona makosa ya hovyo kiasi hiki, kipa kutema mipira ambayo alipaswa kuidaka, hususan unapocheza na wapinzani hatari kama morroco! Au huyu kipa anaumwa mikono?

Hivi mashabiki wake wamewezaje kuishi naye? Haya ni mambo ambayo mashabiki wengi hususan wa Yanga hawajazoea kabisa!

Kuna mashuti unapaswa uukumbatie mpira kwa nguvu japo inatokea mara kadhaa unatema ila unahakikisha unafanya clearance, lakini hili shati linatema mipira anayopaswa kudaka/kukumbatia.

Leo nimejua!
Unashauri nani adake badala ya Manula
 
Kila mshabiki anajua kuliko mchezaji, tatizo la stars sio la kipa ni timu nzima
 
Binafsi huwa sitazami mechi za Simba SC ila baada ya kuangalia mpira wa stars leo kwakweli nimeona utofauti kati ya Diarra na Manula ni mbingu na ardhi!

Yaani leo nimejua ni nini maana ya kipa!. Sijazoea kabisa kuona makosa ya hovyo kiasi hiki, kipa kutema mipira ambayo alipaswa kuidaka, hususan unapocheza na wapinzani hatari kama morroco! Au huyu kipa anaumwa mikono?

Hivi mashabiki wake wamewezaje kuishi naye? Haya ni mambo ambayo mashabiki wengi hususan wa Yanga hawajazoea kabisa!

Kuna mashuti unapaswa uukumbatie mpira kwa nguvu japo inatokea mara kadhaa unatema ila unahakikisha unafanya clearance, lakini hili shati linatema mipira anayopaswa kudaka/kukumbatia.

Leo nimejua!
Nyotaaamkuuu
 
Nadhani umeanza kufuatilia soka wakati Haji Manara ameajiriwa kuwa msemaji wa vilabu vya Kariakoo. Kwamba lile shuti la faulo hakupaswa kulitema bali kulidaka?
kutema sio tatizo hata Van Der Sar alikuwa anatema

Ila jinsi ya kutema kwa Manula ndio inaboa tema hata iwe kona ama mpira uende pembeni ila ukitema mpira ukaenda kati kati ndani ya box ni tatizo

Nakuambia tena shuti la penati ndio kipa anaweza akatema na mpira ukaenda kati kati ndani ya box na akaeleweka
 
Unataka kusema Air Manula ndiyo sababu ya Taifa stars kufungwa 3 kwa buyu..?

Kubali kuwa Taifa stars ni timu mbovu sana na tunaweza kumaliza mwendo tukiwa na zero point.
Siyo Diara tu, jana hata kipa wa Morocco angedaka upande wetu, bado tungefungwa tu.

Siyo kila mpira kipa anaweza kuudaka directly, kuna mashuti mengine ni ya moto.

Alafu acha unaa wewe, unasema huangaliagi mechi za Simba Sc...ila za Yanga unaagalia au..?
Ok...ile ya Simba 1 na Yanga 5, hukuangalia pia...?
Hata short clips..?.

Kwa timu hii ya Tanzania, CAF hata wakiruhusu golini wakae makipa wa 3 wa kukodi.. yaani aje huyo Diara, kipa wa Morocco na kipa wa Man City..... bado hatutoboi ng'o....
Anaendeshwa na ushabiki-ujinga.Ameandika kwamba huwa HATAZAMI mechi za Simba.Sasa,Simba inapocheza na Yanga,huwa anaitazama Yanga peke yake?Wenye akili sijui wapo wangapi kule?No reasoning at all!
 
kutema sio tatizo hata Van Der Sar alikuwa anatema

Ila jinsi ya kutema kwa Manula ndio inaboa tema hata iwe kona ama mpira uende pembeni ila ukitema mpira ukaenda kati kati ndani ya box ni tatizo

Nakuambia tena shuti la penati ndio kipa anaweza akatema na mpira ukaenda kati kati ndani ya box na akaeleweka
Unatambua kwamba faulo kama ile kipa anakuwa amezibwa na ukuta? Unatambua kwamba ule mpira 'ulikatika'?
 
Manula ndio ana jukumu la kupanga ukuta

Kwa hiyo maana yake alipanga ukuta wake vibaya

Btw mimi ni shabiki wa Simba nisije kuambiwa ni Yanga maana nawajua wabongo
 
Unataka kusema Air Manula ndiyo sababu ya Taifa stars kufungwa 3 kwa buyu..?

Kubali kuwa Taifa stars ni timu mbovu sana na tunaweza kumaliza mwendo tukiwa na zero point.
Siyo Diara tu, jana hata kipa wa Morocco angedaka upande wetu, bado tungefungwa tu.

Siyo kila mpira kipa anaweza kuudaka directly, kuna mashuti mengine ni ya moto.

Alafu acha unaa wewe, unasema huangaliagi mechi za Simba Sc...ila za Yanga unaagalia au..?
Ok...ile ya Simba 1 na Yanga 5, hukuangalia pia...?
Hata short clips..?.

Kwa timu hii ya Tanzania, CAF hata wakiruhusu golini wakae makipa wa 3 wa kukodi.. yaani aje huyo Diara, kipa wa Morocco na kipa wa Man City..... bado hatutoboi ng'o....
Ni sawa timu sio nzuri japo mistake za Manula kutemea mipira ndani ilitucost goli la kwanza na nusura tufungwe la 4 kwa namna hiyo.
 
Binafsi huwa sitazami mechi za Simba SC ila baada ya kuangalia mpira wa stars leo kwakweli nimeona utofauti kati ya Diarra na Manula ni mbingu na ardhi!

Yaani leo nimejua ni nini maana ya kipa!. Sijazoea kabisa kuona makosa ya hovyo kiasi hiki, kipa kutema mipira ambayo alipaswa kuidaka, hususan unapocheza na wapinzani hatari kama morroco! Au huyu kipa anaumwa mikono?

Hivi mashabiki wake wamewezaje kuishi naye? Haya ni mambo ambayo mashabiki wengi hususan wa Yanga hawajazoea kabisa!

Kuna mashuti unapaswa uukumbatie mpira kwa nguvu japo inatokea mara kadhaa unatema ila unahakikisha unafanya clearance, lakini hili shati linatema mipira anayopaswa kudaka/kukumbatia.

Leo nimejua!
umezaliwa juzi kuna nyanda pale utopolo alikuwa anaitwa kindokii unamjua?
 
Nadhani umeanza kufuatilia soka wakati Haji Manara ameajiriwa kuwa msemaji wa vilabu vya Kariakoo. Kwamba lile shuti la faulo hakupaswa kulitema bali kulidaka?
Angalia makipa wengine wana punch mpira pengeni sasa Manula ana punch mpira kuelekea ndani wanakuachaje?
 
Manula bado hanapona ni vile mpira wetu una mambo mengi
Mimi Hata simlaumu Manula ,ndiyo uwezo wake ulipoishia , Hata ingekuwa ndiyo mimi Manula nachaguliwa nisingekataa .

Wakulaumiwa ni KOCHA hajui first eleven yake Mpaka sasahivi na selection yake ni poor na amekaa na timu muda wa kutosha .

Hawa wachezaji wa nje wanacheza viwango vya chini sana huko waliko na hakuna ushindani wowote ni mambo ya kuiga tu ionekane na Tanzania imeita wachezaji wake wa nje .
Nova anaechezea Ukraine anawekwa benchi mechi za uefa .

Nafuu wachezaji wa yanga , simba na azam walio Kwenye mechi za caf champions league au caf confederation Mara kwa Mara .
 
Back
Top Bottom