Imekuwaje The Cask Bar waombe radhi kwa wateja wao kuwa na ujumbe wa kuokoa bandari?

Wana bahati Sana tulikuwa tunaandaa plaizi
 
sawa ila ujumbe uliokusudiwa umefika
 
Wameomba radhi ili kumfurahisha malikia maana anapenda kusifiwa.akikosolewa anawabambika kesi za uhaini.tukatae huu upuuzi.Mimi binafs nyumbani kwangu nitaandika bango likisomeka Okoa bandari zetu.Nione sasa kama kuna kenge atanisogelea
 
Kumbe ndo sababu wakapigwa ban
 
Kufungiwa n
a hatimaye kuomba radhi ni doa baya sana kwa watawala.

Serikali imeanza kushughulikia wakosoaji
 
Njaa mbaya, hakuna anaependa umasikini, inabidi tu wale matapishi yao.

Wakutie umasikini, kisha wakupe kesi ya uhaini.
 
Hawa jamaa si wamefungiwa bar Yao kwa kosa la kutolipa Kodi kwa miaka miwili. Na hii imekuja baada ya sakata hili .
 
Serikali imedhamiria kuua huu mjadala kwa gharama yoyote.

Bango la "OKOA BANDARI" tu limetosha kufunga biashara ya mtu na kukosesha ajira watu si chini ya 20.

Huo uhuru ulioongezeka unaohubiriwa na akina Nape ni hadithi za kufikirika zaidi.

Biashara maarufu kama ile ukwepe kodi miaka miwili bila hao jamaa kujua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…