LGE2024 Imekuwaje wagombea wa CCM hawajakosea kujaza fomu za uchaguzi Serikali za Mitaa?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Hili wala halina ubishi kubali ukatae wanaccm walio wengi wana upeo mdogo na elimu yao ni ya kuunga unga. Mifano ni mingi kuanzia juu kabisa pale makao makuu yao kwenye like jengo lenye bendera ya chuma mpaka huku chini kwa wanazengo. Lakini Cha kushangaza watu wao wote wako perfect kwenye ujazaji wa form.

TAMISEMI kuweni serious
 
Baraza la mitihani wateule wake huteuliwa na mwenyekiti wa CCM hivyo hawawezi kumuangusha anayewateua.
 
Back
Top Bottom