Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.
Niliwaeleza tangu awali huyu mama/baba anatka attention au kuna jambo anatenda so amekuja kuprovoke ili yakimsibu ajue namna ya kujikimu...kama kweli ni mwanamke na ameolewa naomba MODE muweke kitufe cha POLE kila mumewe akichangia mada na gonga POLE siajabu akawa anampiga
Tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.
Wanajamii za leo jamani,
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
Taratibu mkubwa, najua wote tuna mshangaa lakini we got no right to say this. 😎huyu mama hazai,hana kizazi
pakashume mkubwa
Kuna dada mmoja anaitwa SADAKA [kama sikosei] anakuwa kwa kipindi cha leo tena mida ya saa tano au zaidi, nadhani atamsaidia sana huyu mtoa mada
Is sadaka a member of JF if not can we invite her because she will be very useful for this forum
My God!!! Kama hii ndiyo spirit yako, basi nimepoteza sana respect kwako!!! Kumbuka
Nimesikitishwa sana hasa kwa kuzingatia uko mbele sana kwenye mambo ya jamii
- two wrongs wont make it right
- revenge is evil
- kuosha/kuoshwa ni spirit ya waliokosa dhamira katika maisha
- Na kama kweli waamini dhana hiyo, basi disclose kwa mwenzako basi muendeleze libeneke
- hii dhana inaendeleza disharmony bila kushabikia separation.. so hurting kwa kwenda mbele
ANyway haya ni maoni yangu tu!!!
Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.
My point is... evil is evil..hakuna lesser evil..kama imefanywa na mwanamke au mwanaume zote ni mbaya! Huyo niliyemjibu ni kwamba anaona Mrs Mtaba tu ndio mbaya,..what about the other party to the equation?...
It beats me kuona kuwa kuna double standards kwenye haya maswala..ni lini tutaacha kushabikia uovu unaotendwa na sehemu moja ya jamii? Tukihesabu thread za mahusiano zinazoanzishwa na wanaume zenye kuungama uzinzi, zenye kushabikia kumega, na hulka nyingine mbaya nadhani tutajishangaa kwa jinsi kulivyo na unafiki uliokithiri.
Majority ya wachangiaji ama wanatoa support au kuchochea na kutoa support kwa uovu zaidi. Tabia hizi mimi sioni zinatofautiana na uovu mwingine unaotendeka katika jamii kama Ufisadi.Tunapojadili ufisadi wa wanasiasa na viongozi sijaona hata mahali pamoja akatokezea mtu na kuthubutu kuandika kushabikia ufisadi/wizi au rushwa akaungwa mkono.Lakini inapotokea ufisadi huohuo ila wa mapenzi basi hapa kuna migawanyiko.Kama kweli tunataka kurekebisha jamii zetu tuanzie ngazi za familia zetu.Bila kufanya hivyo hakutakuwa na moral justification wala moral authority ya kulalamikia ufisadi huo wa rasilimali za taifa.
You are entitled to your own views and opinion about my points or any point my bro MTM.
I support you...hatuwezi jua nini shida kwenye hili swala. Yawezekana jamaa pigapiga nje sana mpaka mayai yanamuishia kutunga mtoto.safi sana mtu wangu hii ni kama alivyoimba mwanafalsa katika niponipo kwanza kuwa inarudisha hadhi, mambo ni jino kwa jino wamezidi sana hawa kina baba. ila ndani ya miaka 2 tu tena bila kuzaa huyu mume kimeo
I support you...hatuwezi jua nini shida kwenye hili swala. Yawezekana jamaa pigapiga nje sana mpaka mayai yanamuishia kutunga mtoto.
Na mm naomba chance nimege siku moja ukimega mara mbili sio mbaya si unakuwa kama umeteleza hata Mungu anasemehe kwa n'tu alie teleza Mrs Mtaba.
VC, the font size and colors tell alot... but that why i like this forum!! agreeing to disagree and learning from each other
My first bullet point says it all... I acknowledged the "two wrongs"!! which means i didnt differentiate the two mistakes... and that is why why i didnt condone mwanaume ila nimesema mwongozo wa muosha huoshwa!! its like if you do me i do you... yaani kama mke wangu akicheat basi na mimi ni-cheat!!! its not a way to raise our kids and community because it doesnt end there, it goes to arguing, fighting, stealing and everything relating to community life
If you have noted anywhere nimesupport tendo la mwanaume kwenye hii thread, niambie na nitaomba msamaha... otherwise wewe unanipa depression kwa kukubali dhana ya "do me do you" muosha huoshwa ambayo inatranslate kwa kila kitu katika jamii na si mapenzi tu!!
I believe in understanding although i may not be practicing everyday because I am a human and what i saw is what i took from your post... and i am not in favor of muosha huoshwa, i remember i commented on this once a few months ago on another thread
Tunapojadili ufisadi wa wanasiasa na viongozi sijaona hata mahali pamoja akatokezea mtu na kuthubutu kuandika kushabikia ufisadi/wizi au rushwa akaungwa mkono.Lakini inapotokea ufisadi huohuo ila wa mapenzi basi hapa kuna migawanyiko.Kama kweli tunataka kurekebisha jamii zetu tuanzie ngazi za familia zetu.