Imenibidi...

Jamani mnaendelea kuchangia nini wakati yeye alishasema kwamba ni kaka na sio mama??

Du kweli sijawahi kuona naona wanawake huyu mama amewaaibisha sana na sidhani kama mtu na akili zake anaweza kufanya huu upuuzi...........
 
Inasikitisha sana, sasa mkikutana jioni kila mmoja katoka kumega/kumegwa nje mnakaa mezani mnaongea au ?

Mmoja kati ya wanandoa akimega mnaona sawa, na aliyebaki akifanya, basi ni walakini.

Wote wanamatatizo, wamalize tofauti zao, au kama ndo style ya maisha wanayoyataka basi endeleeni.

Hapa huhitaji mawazo kwani tatizo ushalitafutia ufumbuzi.
 
Thanx a million of times, baeleze...miafrika ndivyo tulivyo...unafiki, unafiki, unafiki. Open up kuweni wa wazi na mambo yenu, tena kuanzia kitandani mpaka maofisini na kujenga taifa.
 
Mmoja kati ya wanandoa akimega mnaona sawa, na aliyebaki akifanya, basi ni walakini.

Wote wanamatatizo, wamalize tofauti zao, au kama ndo style ya maisha wanayoyataka basi endeleeni.

Hapa huhitaji mawazo kwani tatizo ushalitafutia ufumbuzi.
Nikweli kabisa, safari moja huanzisha nyingine atiii. Nyie wote wenye midomo midomo merefi kama kenge ndio wa kwanya kuzijaza guest house Friday evening + it´s whole wkend. Midomo juu juu kama break za honda. Kama hii sio dawa kwako kwa mwingine ni dawa. Na bado mtaandika sana ila wembe ni ule ule.
 
...Carmel huwezi jua, labda mumewe je? nakubaliana nawe, ...Mkuu Edson punguza Munkari!
Waache wapoteze nguvu zao, "we dare to talk open", mbona inawauma sasa. Achaneni na mawazo potofu ya nyanya zenu na babu zenu. We are now in the world of dot com. Hivi mnadhani hao wanaowasemehe na wakaka kimya niyakweli...mtakalagagabao hapo hapo. The only cure ni kumwaga mboga baada ya ugali kumwaga. Who da´ hell do u think you are to screw me up, i will also screw you too.
 

pheeeewwww,

'Hell has no fury like a woman scorned' !

Mrs Mtaba. Najua imekuuma sana. Huenda malengo, matarajio
ya ndoa yako hayakufikiwa kama ulivyokusudia. Lakini usiongozwe
na shetani namna hiyo, mwishowe 'majuto mjukuu'

...ndio maana tunashauriwa tusipoweza samehe tuwe wakweli wa nafsi zetu. Hakuna dhambi ku move on na maisha mengine badala ya kuendelea kukalia kaa la moto lingali linakuunguza makalio.
 
Utoto huo, ukikua utaacha, yaani wewe una unga mkono ule msemo kama mtu anauwa paka wako wewe unaua mbwa wake, sifikirii kama msemo huo unafanya kazi kila mahala, kwa hiyo kama na wewe ushaamua kufungua duka basi elemeny ya kuoneana wivu uiondoe kabisa, endeleza libeneke, maana kuwa na akili ni zaidi ya mtu kuvuka barabara bila kugongwa na gari
 

so are you representing men or women now!!??
 
Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.

Mhhhh! in the heat of the moment after telling you husband that, "I forgive" you then you turn around in order to get even!!! 😕 😕

Na hii "interest" yako ya kusema uongo kama ulivyoiweka kwenye profile yako ni aje!? Sasa katika yote uliyoandika katika mjadala huu lipi ni la kweli na lipi ni uongo?


About Me


  • About Mrs Mtaba
  • Location Denmark
  • Interests lying


[ame]http://www.youtube.com/watch?v=lh2YP7oXqGQ[/ame]
 
ushampata???? kama vipi tupeane contact
 
Mrs Mtaba na wengine wote wanaokuunga mkono katika hili, ningependa uelewe kuwa ni kweli tunasympathise na hali ya ndoa yako itokanayo na mambo anayokufanyia mumeo. Katu hatukulaumu kwa uamuzi uliochukua lakini concern yetu sisi ni hadhi na heshima yako ya kibinadamu. Unajua ni kwa nini wanaume wanaotembea nje ya ndoa zao wanaonekana vidume na wanawake wanaofanya hayo wanachukuliwa malaya?! Ni vema ukalifikiria hilo kabla ya kujifanya uko sawa na Mr.

Wanawake wenzangu ni kweli tunataka usawa lakini si katika haya eti mume akiwa na nyumba ndogo nawe uwe na kidumu? Hapana mimi ninafikiri usawa tunaoudai tuuelekeze kwenye mambo ya maana zaidi kuliko haya. Je ni kweli kuwa hatuwezikuwadhihirishia hili kwa kuwaza yaliyo mema? Je kama mwanaume anayo haki ya kukupa talaka kwa kukufumania kwa nini nawe usimwonyeshe kuwa mko sawa katika hilo? Mrs Mtaba umemfumania Mr mwache anza maisha yako mwonyeshe yes you can. Ninakuhakikishia atakuheshimu daima ila ukifanya ulivyofanya atazidi kukudharau na kuwaza kuwa huwenda alifanya makosa kukuoa in the first place!.
 


labda huwa anamdanganya mmewe ndo maaana mzee kaamua arudie back up yake old vision ajipatie ahueni
 

Oppsssssssssss!!!!!!!,

Yeye ametoka na amekiri na kuomba msamaha,wewe umeamua kutoka na unatoka kikweli kweli mpaka wajisikia raha urudipo nyumbani, hujasema kama umemwambia jamaa hilo na pia kama umeomba msamaha.

sasa tukusaidieje?
 
labda huwa anamdanganya mmewe ndo maaana mzee kaamua arudie back up yake old vision ajipatie ahueni

ndo maana hakusema kama jamaa anajua kuhusu yeye kula bata ni serengeti boyzzz wake.
Hapa huenda yeye ndo alilianzisha ,sasa mzee mzima kamrudi anajidai ooh anatembea na kikongwe mara kaniomba msamaha nk,nk.

acha ujinga wewe visasi havina nafasi hasa nyakati hizi.
Utakuja kula bunju likuvimbishe bure!!!!!!!!!!!!!
 
Poa, ni maamuzi sahihi. Kama wapo wanaoweza kukuondolea ..... endelea maana yeye ameshindwa kujiheshimu.
 
yaani wewe ni kicheche full stop,na jamaa sijui alikuokota uchochoro gani maana mmh,lakini poa mbanane hapohapo ilmradi mmeamua mechi,na kama ningekua mimi ndo nimekuoa ungekoma mwenyewe maana ningekugongea mpaka marafiki zako wote wa karibu na hata dada zako ndg zako poa tu kisha nione kama utarudisha majibu,bahati yako na huyo jamaa uliempata ukamfanyia hivyo
 

Jiheshimu wewe....Kama wewe una akili timamu ungeeleza upuuzi wako uliotoa hapa??Hamna hata mtu alikusupport naona watu wakikusapoti ndio unafurahi,Kwanza sijui kama umesoma nadhani mtu na akili zako umeona wanawake wenzako wamo wengi sana humu na wengine wameolewa pia na wamekushauri jinsi ilivyo sasa bado unatuona tunavidomo kukushauri ukweli....

Madam wewe umekuja kutaka ushauri na mada yako ya kipuuzi na sisi tunakupa kubwa kuliko....Wewe unadhani humu ndani wote ni mafuska kama wewe......Kweli akili ni nyweli kila mtu ana zake alafu wewe unajiita mke wa mtu.....Duuu hii ni hasara kubwa sana sijawahi kuona....Na kamwe siwezi kukupa support na mada zako za kijinga na ulivyokuwa wewe mwenyewe mjinga!!
 

Thanks MWanajamii1;

Hakika hili suala ni gumu sana... kuacha mtu gafla nayo ni ngumu kwababu ya mazoea na uoga wa ku-gamble huko mtaani. Unaweza kuacha mtu leo na kuhanja mtaani for years kila ukiibua, anakuwa anafanana na yule uliyeachana naye, au worse!!!

Mwisho wengine wanaamua kubaki na koroma lake na kuhanja kupata the remaining balance... which is not right!!!

Kuna movie inaitwa "WHY DID I GET MARRIED??" inafurahisha na kufundisha sana, kwa hapa Dar nimeona hata machingas wanayo... itafuteni muone jamaa wanavyosort out matatizo ya ndoa... yaani ni very educating mazee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…