Imenifurahisha hii lakini sijaielewa

Imenifurahisha hii lakini sijaielewa

May be, Jamaa hamna nguvu za kubadili, ndio hiyo ya ccm ya kutokea lakini mapenzi yake kwa chadema.
 
Kofia, kanga, fulana chukueni. Lakini kura Chadema!
 
Shingoni amevaa nini ziko mbili au jamaa hajielewi anataka nini? Uzuri ni kwamba kabeba picha ya Mbunge wangu mtarajiwa. Mi nachagua mtu bwana sichagui CHAMA ati.

 
ukiangalia hapo utaona ni mkutano wa wanachadema. ni wazi huyo jamaa atakuwa wa chadema vinginevyo kingempata yule dada wa mpanda mjini kwa bw arfi.

 
Hapo madai yake kura ya Mbunge ni kwa Mnyika na Urais Kinaniii kinani vilee? nshasahau
 
ukiangalia hapo utaona ni mkutano wa wanachadema. ni wazi huyo jamaa atakuwa wa chadema vinginevyo kingempata yule dada wa mpanda mjini kwa bw arfi.

mwenzenu yupo kazini hapo.
anazuga tu kuusoma upepo na kuwapima chadema kama ni wastaarab. Kumbe wenzake wanamwona ni juha.
 
watu wana mambo nashindwa kuelewa ana maana gani huyu 31-10 ndo mwamuzi
 
huyu ni chadema damu,lkn hizi nguo si ni bure jamani?so kavaa tu mm yangu mbn ninalalia?
 
Mbona ana IDs 2 shingoni-meaning?
Simsemehi huyu ndg ila niliwahi kumuona wa hivyo ila alikuwa na kofia yenye picha ya mgombea urais wa CCM na ameshika bango la Mbunge wa chama cha upinzani,nilipomuulzai akasema, yeye kura yake ya Ubunge anampa mbunge wa chama cha upinzani lakini ya uraisi anampa Kikwete-nikamuona huyu ndie mwana demorasia wa ukweli na anaijua.
 
Back
Top Bottom