Imenifurahisha hii lakini sijaielewa

Imenifurahisha hii lakini sijaielewa

Japo kuwa kura ni siri!! huyu bwana yuko wazi kabsaa, kura kwa mbunge wa chadema ila kwa rais anajaribu kuubeep mkutano umpatie t-shit ya chadema vinginevyo kura itakuwa
kwa chechemee, anataka sanduku liongezeka wanduguu??:bowl:
 
View attachment 15550 mwenye kuweza kunielewesha kuhusu hii picha anisaidie plz maana mie nimeshindwa kuelewa mshikaji yupo upande upi...

NI kama anasema:

"T-shirt na kofia zenu nitavaa, mkinipa hongo nitakula, kwenye kampeni zenu disko la bure nitacheza lakini kura yangu kwa chadema"
 
kwa mujibu wa maelezo ya chini ya picha iliyokuwa ippmedia ni kwamba jamaa ni shabiki wa ccm lakini alikuwa amenyanyua bango la chadema,Hapo ilikuwa ni Kongamano la kuhusu mambo ya maadhimisho ya Nyerere yaliyoandaliwa na chadema...as long as I remember....
 
Back
Top Bottom