Imenishangaza hii ya screen T-shirt printing

Imenishangaza hii ya screen T-shirt printing

Dan Densley

Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
6
Reaction score
4
Natanguliza Salamu Kwenu Wadau, Napenda kuuliza juu ya hii ya kuprint Tshirt kwa kutumia SCREEN, hua naona Nikienda kuprint kazi zangu. wanavoandaa ile screen ni kama wanapaka vitu vya BLUE kama rangi alafu baadae KARATASI yenye LOGO inabandikwa juu ya SCREEN alafu (CHAKUSHANGAZA) baadae ile LOGO inatokea kwenye Screen Baada ya Kupulizia Maji kwa kutumia KIPUMP kama cha saloon za kunyolea.

NINGEPENDA KUJUA ILE LOGO INATOKEAJE PALE JUU YA SCREEN KWA KUPULIZIA MAJI NA NI NINI KINACHOZUIA WINO WA KUPRINT KUPENYA SEHEMU NYINGINE JE NI ILE RANGI YA BLUE PEMBENI AU. NINGEPENDA KUJUA YA UTALAMU HUU WAKUU.
 
Ndo maana watu wengine wanasema technologia ni aina ya uchawi..........wenzetu wa sumbawanga wangeweza kuweka vitu vyao kwa muudo huo wangekuwa bilionea kama Trump.......
 
Back
Top Bottom