Imenisikitisha sana kwahiyo siku hiz mmehamia kwenye biskut? Aisee

Washamba wa mikoan mna tabu
 
Haha watu wa mikoani mnatuonea wivu kwli watu wa dar,, sura ya taifa ni dar banah.. kama unakaa tofauti na hii mikoa , ( dar es salaam , arusha , mwanza , moshi ) basi wewe lazma uonee wivu vijana wa dar
 
Mwanaume mzima unajiita baby boy
 
Me nakula kila kitu biskuti,chipsi,cola,maku..yaani kiufupi kwenye vyakula tusipangiane kabisa

Ila hapo kwenye suruali zinazobana ndio vijana wenzangu wanaponiacha hoi
Sio ndo mkivaa hivo mnajiona matoz
 
Hichi kivulana ukifuatilia muandiko wake na comment zake utagundua kua ni kapunga flani hivi,hata hii safari ya kuja dar pengine kanatafuta kukunwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu kiambie bana kisije kuolewa bure kikasingizia wanaume wa dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…