Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habar hapo juu
Niko hapa dar nimeagizwa vitu kazaa na mshua mara yangu ya mwisho kufika hapa ilikuwa mwaka jana
Mwaka jana nilibaki hoi sana baada ya kufika na kuwaona wanaume waliovaa vinguo vya kubana mapaja kama zile wanazovaa dada zetu, sio hivyo tu nilikuwa nikiwaona wamejikusanya sehemu wanakula vitu vinavyoitwa chips nilishangaa sana kwakweli
Sasa leo ndo nimeshangaa zaid baada ya kuona siku hiz hawali tena chips wanashindia biskuti na azam cola, nimesikitika sana kwakweli aisee
Kwahiyo enyi wanaume wa dar mumetoka kwenye ulaji wa chips na mumehamia kwenye biskut
Ndo maana wanawake wa dar hawaish kulia lia kutolizishwa na wanaume wao
Mnashindia biskut aisee mumeniacha hoi sana
LONDON BABY