Poa lakin mnaboa kinoma mazeeHaha watu wa mikoani mnatuonea wivu kwli watu wa dar,, sura ya taifa ni dar banah.. kama unakaa tofauti na hii mikoa , ( dar es salaam , arusha , mwanza , moshi ) basi wewe lazma uonee wivu vijana wa dar
MmmmhWanaume wa dar akili zao wanazijua wenyewe
Mwanaume mzima unajiita baby boy
ohooooHichi kivulana ukifuatilia muandiko wake na comment zake utagundua kua ni kapunga flani hivi,hata hii safari ya kuja dar pengine kanatafuta kukunwa
Kwahiyo shemeji umekwenda dar kuwachunguza wanaume wenzio!!! Unataka kuwafanyia nini?
katika hilo tumefanana, ....Na pale inapolazimu sana ni maramia nitumie kiingereza kidogo ili tu kukwepa hilo nenoAf ujue mfano mim..kutaja hili neno "mwanaume"..yaan kumwita kamanda mwenzangu hivo sjui najionaje yan,..yan kuna ukakas flan,naweza ita mkuu,au kamanda,ila ukiona mtu yuko huru kutamka hilo neno ujue ana element za kishouger flan...ndo huyu jamaa sasa.
ujumbe wameupata mkuuWaambien bhana waache kushindia biskut
Wengine wanakula ubuyu ofisini hadi keroSiyo kuwachunguza shemu wangu lakin mambo niliyoyaona huku ndo yameniacha hoi sana mwanaume mzima anshindia biskut aisee