Imenisikitisha sana kwahiyo siku hiz mmehamia kwenye biskut? Aisee

Imenisikitisha sana kwahiyo siku hiz mmehamia kwenye biskut? Aisee

na ww kwa umri wako huna kaz mpaka unatumwa tumwa tu mikoani kizembe hivo na baba yako ukamfanyie shopping
Hapana sio shoping mkuu nilikuwa nimekuja kuchukua kod za majengo kwenye nyumba ya mshua
 
Haha watu wa mikoani mnatuonea wivu kwli watu wa dar,, sura ya taifa ni dar banah.. kama unakaa tofauti na hii mikoa , ( dar es salaam , arusha , mwanza , moshi ) basi wewe lazma uonee wivu vijana wa dar
Poa lakin mnaboa kinoma mazee
 
Kwahiyo shemeji umekwenda dar kuwachunguza wanaume wenzio!!! Unataka kuwafanyia nini?
Siyo kuwachunguza shemu wangu lakin mambo niliyoyaona huku ndo yameniacha hoi sana mwanaume mzima anshindia biskut aisee
 
Af ujue mfano mim..kutaja hili neno "mwanaume"..yaan kumwita kamanda mwenzangu hivo sjui najionaje yan,..yan kuna ukakas flan,naweza ita mkuu,au kamanda,ila ukiona mtu yuko huru kutamka hilo neno ujue ana element za kishouger flan...ndo huyu jamaa sasa.
 
katika hilo tumefanana, ....Na pale inapolazimu sana ni maramia nitumie kiingereza kidogo ili tu kukwepa hilo neno
 
Back
Top Bottom