Imenisikitisha sana kwahiyo siku hiz mmehamia kwenye biskut? Aisee

Ila umechokoza mkuu,utachambwa leo,maana ndo zao maneno maneno meengi!...
 
Wanavaa nguo za dada zao sijui wanataka kugundua nini hawa.
 
Watoto wa dar kusema kweli mnazingua...... mi nkijaga hapo kutoka kijijini najihisigi nko wapi sijui.... Namna wanavotembea, suruari zao wanavovaa, nywere zao mitindo yao wanavonukia...... Hatari tupu
 
Sawa hakuna shida lakin ujumbe umefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…