Imenisikitisha sana kwahiyo siku hiz mmehamia kwenye biskut? Aisee

Imenisikitisha sana kwahiyo siku hiz mmehamia kwenye biskut? Aisee

Ila umechokoza mkuu,utachambwa leo,maana ndo zao maneno maneno meengi!...
 
Wanavaa nguo za dada zao sijui wanataka kugundua nini hawa.
 
Watoto wa dar kusema kweli mnazingua...... mi nkijaga hapo kutoka kijijini najihisigi nko wapi sijui.... Namna wanavotembea, suruari zao wanavovaa, nywere zao mitindo yao wanavonukia...... Hatari tupu
 
Af ujue mfano mim..kutaja hili neno "mwanaume"..yaan kumwita kamanda mwenzangu hivo sjui najionaje yan,..yan kuna ukakas flan,naweza ita mkuu,au kamanda,ila ukiona mtu yuko huru kutamka hilo neno ujue ana element za kishouger flan...ndo huyu jamaa sasa.
Sawa hakuna shida lakin ujumbe umefika
 
Atakuwa anapakatwa huyu sio bure
tapatalk_1505245758666.jpeg
 
Back
Top Bottom