olekamaru
Member
- Jun 23, 2017
- 78
- 74
Wiki hii taarifa za kufariki kwa golkipa wa zamani wa timu za simba na yanga Ismail suma kufariki dunia kule Bujumbura Burundi na amelazimika kuzikwa huko na majirani kutokana na kile kilichoelezwa Ndugu zake kushindwa kumudu gharama za kuufuata mwili wake.imeuma sana kwani sio Tff wala simba na yanga hata prison ya Mbeya ambao ni waajiri wake wa zamani walioguswa na hili.hata hawa wanaojiita sputanza chama cha wachaezaji Tanzania wamekaa kimya.soka letu lina malaria zaid ya milioni moja na sijui lini tutaimarika kwani soka sio uwanjani tuu hata nje ya uwanja pia.