Imeniuma sana

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,267
Reaction score
29,917
IMENIUMA SANA
Jana jaman nilialikwa harusini mambo ya minuso na madikodiko,

nimefika getini wahudumu wakanipokea na kunielekeza maandishi nikaona pameandikwa kulia ni ndugu wa maharusi,

kushoto ni wageni waalikwa, nikaenda kushoto maana mimi nimwalikwa.

Nikakuta mbele kuna mlango mwingine umeandikwa kulia wenye zawadi

kushoto wasionazawadi, mimi sikuwa na zawadi nikakata kusho,.

Nikakuta tena mlango umeandikwa kulia wanawake kushoto waume,

kidume na suti yangu nikakata kushoto, ghafla nikajikuta nimetokea nje mtaani...

Sikuhoji mtu yeyote,

nikaanza safari kurudi nyumbani

Mbutu Kigamboni....
Kama harusi tu tunafanyiana hivi huu sasa uuaji,

Jana nililala na Hasira[emoji35] [emoji35]
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umetisha mkuu ila pole sana ilibidi usepe maana hamna namna[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
ndo mbinu mpya wamegundua?hamna shida sasa kwanzia sasa nachangia mgonjwa na mazishi tu.ukinogewa viuno uwe na pesa zako za harusi
 
Unavaa suti huku huna hela,au ndio umaridadi unaficha umasikin?..
 
hiyo story ina wiki sasa ina`trend kwenye makundi ya whatsapp kwa kasi,naona mkuu ameamua aihamishie humu...
 
Hahahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] jamani mama maisha haya!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…