Imeniuma sana!

Executor

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2014
Posts
872
Reaction score
994
[emoji856][emoji856][emoji856]...

Kwakweli nimeumia sana sana katika hili ndugu zangu, naweza onekana wa ajabu lakini nimeumia sanaaaa!

Jana nimepokea taarifa ya kifo cha paka wangu ambaye aliondoka nyumbani takribani siku 3, jana napata taarifa yakuwa aliuwawa tena kwa kuchomwa moto [emoji24]

Kinachoniuma zaidi baada ya kuchomwa moto naskia akaliwa na mbwa [emoji24][emoji24]

Pia alikuwa anaujauzito [emoji37] binadamu wakatili kwakweliii....
 
Pole sana mkuu...umenikumbusha msiba wa paka wangu nilisafiri nikakuta amekufa kaacha vichanga viatu vya wiki..nilipambana vimebaki viwili tu...my dear Simba.miss you
 
Pole sana mkuu.
 
wewe utakuwa baharia wa Dawasco.

Jina kubwaaaa afu tunafeli

Why usiwa execute tu tupige saluni.
 
polee sana.

me napaka wangu nimemlea toka kakiwa kadogo. ila anishangaza sijawai mfuma na jike sijui nikahanisi haka kapaka. na hatokagi nje ya geti, au usiku nikilala anaruka ukuta anaenda kufanya ufuska. nimeshamchunguza nimekosa majibu.
 
Dah asee ahsante sana!
Mazoea tu ayo, ulimzoesha sana kukaa ndani lakini chunguza usijekuta siku anapiga punyeto bureee[emoji23]
 
mbaya zaidi alikuwa anakula sana panya, sasa hao panya itabidi waliwe na mtoa mada.
 
Ahsante mkuu, nawe pole sana nami huu msiba wa pili paka wangu wa kwanza aliwekewa sumu na wapangaji mwaka 2014 na kiacha watoto wa3, mmoja tu ndo alipona na hadi leo ninae....
Pole sana mkuu...umenikumbusha msiba wa paka wangu nilisafiri nikakuta amekufa kaacha vichanga viatu vya wiki..nilipambana vimebaki viwili tu...my dear Simba.miss you
 
polee sana.

me napaka wangu nimemlea toka kakiwa kadogo. ila anishangaza sijawai mfuma na jike sijui nikahanisi haka kapaka. na hatokagi nje ya geti, au usiku nikilala anaruka ukuta anaenda kufanya ufuska. nimeshamchunguza nimekosa majibu.
Kama sabuni zinaisha bila mpango ndani

Jua kanapiga nyeto

Mi ka kwangu kuna siku nilikafuma nlcheka balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…