Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ulitaka umtomb. wewe mkuu?polee sana.
me napaka wangu nimemlea toka kakiwa kadogo. ila anishangaza sijawai mfuma na jike sijui nikahanisi haka kapaka. na hatokagi nje ya geti, au usiku nikilala anaruka ukuta anaenda kufanya ufuska. nimeshamchunguza nimekosa majibu.
Dah asee ahsante sana!
Mazoea tu ayo, ulimzoesha sana kukaa ndani lakini chunguza usijekuta siku anapiga punyeto bureee[emoji23]
Umenikumbusha kuna mbwa wangu mmoja Germany Shepherd "Draz"alikuwa ana nidhamu sana mpk nilikuwa nakimbia nae nikiwa nafanya jogging asubuhi. Alipata ugonjwa siku mbili akafa. Niliumia mpk nikawa najisikia vibaya kila nikirudi nyumbani karibia mwezi mzima
Anasubiri ndoa huyo hataki kuchepuka! Nje ya hapo katakuwa ni kapiga punyeto kalikokubuhipolee sana.
me napaka wangu nimemlea toka kakiwa kadogo. ila anishangaza sijawai mfuma na jike sijui nikahanisi haka kapaka. na hatokagi nje ya geti, au usiku nikilala anaruka ukuta anaenda kufanya ufuska. nimeshamchunguza nimekosa majibu.
Dah pole sana, nikweli kabisa watu wahathamini kabisa wananya....Pole sana, sisi wapenzi wa Wanyama watu huwa hawatuelewi sijui kwanini
Paka wangu mmoja kabla hajafa alikua ana muamsha bimkubwa pale home asubuhi na anamsubiri mpaka arudi usiku ndio analala.
She was cute, alikua hana jina akazaa watoto wawili mmoja akaitwa Alice mwingine Bonge.
Basi tukampa jina la Mama Alice.. She died of Poison... Alice survived but Bonge died of cold he was fat he couldn't even move for heat the cold burn him to death.
Ahsante mkuu, paka ni kiumbe safi sana, kuna paka wangu mmoja nimempatia mshikaji wangu magethoni yaani amekuwa kama ndo mshikaji wake pale anapokuwa bored asee....Daah pole saana mkuu mi nina paka wangu nilimuibaga kwa jilani akat mdg nikampa jina 2pac nimsumbufu balaa jioni ninavyo rudi kazini namkuta ananisubiri getini