Imeniuma sana

Huu ulimwegu bwana umeharibika.mimi mwenyewe yamenikuta haya pia,kuna rafiki yangu nilikuta kasave jina langu weekend nikaamua kumuacha kwani nilihisi ana multple lovers.nilimpenda sana japo niliona pia kuwa ni risk hasa ukizingatia kuna janga la ukimwi duniani,kama vp nishaurini pia.
 
Etii!!???....................... weekend ndo alivyokusave kwenye simu lol!! mapenzi yana mambo jamani. Pole mwaya demedi.
 

-Ni adhabu ipi ambayo itamfaa huyu bazazi zaidi ya Talaka??,what if huyu mama angekufa? maana kumpiga mtu mpaka hatua ya kuzirai ni sawa na kukaribia kumuua,utasema kuna mapenzi hapo home boy,hata kama ni domestic violence hii ni too much bana,ni heri angempiga na baada ya kugundua kuwa kamuumiza angempeleka hospitali kwa matibabu lakini jamaa ndo kwanza kamtelekeza mkewe akiwa katika hali mbaya(mahututi) na mpaka sasa hajulikani alipo,utasema kuna mapenzi hapa??,hapana bana,dawa ni kumuacha tu,huyu jamaa hampendi mkewe ndo maana unaona wakati mkewe akiwa hospitali anasikilizia maumivu ya kipigo na kupoteza ujauzito yeye mume hajulikani alipo(labda anakula raha na nyumba ndogo/kimada wake)

-Kuhusu watoto ndo maana hapo juu niliuliza je wana watoto??,suala la malezi ya watoto isiwe sababu ya kutishia uhai wa wenzi wetu kwa sababu tu twajua hata tukiwapiga na kuwaumiza hawatatuacha kwa sababu ya kuwalea watoto pamoja....Hapana aisee

Babra,rafiki yako anaendeleaje sasa??
 


jamani poleni kwa kuchelewa kuwaambia hali ya mgonjwa, yaani ndio napumzika sasa hivi jana yote ilikuwa ni purukushani tu...mgonjwa kwa kweli kapigwa sana, kaumizwa sehemu za jicho zimevimbia damu, hali yake inaridhisha mpaka nilivyomuacha muda c mrefu, nilivyofika tu hosp yeye ilikuwa ni kulia tu nikamuhoji kama kuna la zaidi ulilofanya mpaka mr akafikia huku akaniapia hakuna la ziada ni hivyo hivyo alivyonieleza kuanzia mwanzo, Balantanda! wana mtoto 1, akaniomba nikamuhamishe mtoto hapo home mana hana imani tena kabisa, na akitoka atachukua vilivyo vya muhimu kwake akaanze maisha yake upya, akimaanisha ndoa ndio imefikia mwisho, na akaomba aliekuwa mumewe kama mwenyewe anavyomuita popote alipo hata akical aambiwe tu aendelee na maisha yake yeye haitaji kumchukulia hatua zozote za kisheria bali anaona mwisho wao ndio ufikie hapo.
 
jana ucku baba mdogo wake aliingia, toka dar, sis nae! baba alikuwa anataka sana sheria ichukuliwe lakini binti yake amekataa katu katu kumchukulia hatua mume wake, lakini anacctiza ndio ndoa imefikia mwisho na hataki mjadala kwa hilo...wazo la baba ni kumuhamisha kikazi mkoa mwingine, kati ya arusha,dar au mwanza, binti amechagua mwanza akakae na sis wake...baba anashughulikia hilo!..na jana shem alinical akiniomba tuonane na nilionana nae.
 

Masanja,

Tena kama wana watoto ndio waachane kabisa maana watapata malezi mabovu kutoka kwa baba yao. Kuna watoto wanaochukua tabia za wazazi wao completely. Kama mtoto anaona jinsi baba anampiga mama to the extent of being admitted na bado mama anaendelea kukaa as if nothing happened mtoto akiwa mtu mzima atajua mwanamke ni wa kupiga tu pale anapokosea, kitu ambacho ni kinyume na mafundisho wanayotakiwa kupata. Kuna matatizo kwenye ndoa unaweza kuvumilia lakini sio la kupiga mtu mpaka anapoteza uhai wa kiumbe alichobeba, do you think she will ever forget that? That I got miscarriage because I was beaten with my husband? Aachane naye, Mungu atamfungulia milango mingine.
 

ngoshwe jana nimeonana na shem wangu, alinical tuweze kukaa anipe hali halic, alikuwa analia tu na kusema hajui ni shetani gani aliempitia na kumfanyia hivyo mkewe, na alivyoondoka juzi alienda kulala kwa huyo mwanamke wake lakini asubuhi pombe zilivyomuisha kichwani na kukumbuka alichofanya ndio akatoweka anakokujua yeye, cna msaada nae lakini nilimwambia ukweli kinachoendelea na nikamshauri arudi tu nyumbani kwake mana hakuna lolote atakalofanyiwa coz mkewe kasema acfanyiwe lolote...anajuta analia kama mtoto na nilipomuambia mimba imeharibika/imetoka ndio imemchanganya zaidi.....madai yake ni kuwa ataipambania ndoa yake kufa kupona....hajadhubutu kwenda hosp lakini nyumbani kwake amerudi.....
 
Thx kwa info babra,poleni jamani
 
atakuja ataomba msamaha na watarudiana!!! wanawake na mioyo yetu jamani!!!

Pole Babra kwa rafiki yako!!!! Namuombea apone tu, hayo mengine yatatatuliwa akiwa na afya!!!


bht! mke anasema ndoa imefikia mwisho, anasema ataondoka na gari yake, vitu vyake muhimu tu lakini nyumba na vitega uchumi walivyonavyo anamuachia vyote, anasema hataondoka hata na kijiko, na anamkaribisha kwa moyo mmoja huyo mwanamke ambae mume wake anamuona bora amchukue na waishi nae pale, yeye anataka kuanza maisha upya kabisa.
 
Thx kwa info babra,poleni jamani


tumeshapoa mami, ndio ukubwa huu! unajua Pearl jana nilikuwa namwangalia shem wangu anavyolia mie nabaki nashangaa tu, ananiambia cjui huyo mwanamke wake amempa nini mpaka akamtendea mke wangu maovu hivyo, anasema hataweza kuishi bila mke wake...atapambania ndoa yake hata haamishiwe wapi.
 

that will hurt him even more!! huyo dada anamuonesha mumewe kuwa alimpenda kwa dhati na si zaidi ya hapo.

nasikia uchungu sana jamani!!! ila hiyo ni adhabu tosha kwa mumewe!!! sasa Barbie huyo small house alijua jamaa ameoa kweli???
 
My dear alws watu wanamsingizia shetani,hata kama kafanyiwa dawa si kataka mwenyewe?kama angeridhika na mkewe na kuacha macho juu angekutana na hayo wapi?tamaa zake zimemponza,wanaume wepesi sana kuanzisha nyumba ndogo kisa wanakimbia matatizo na stress za hme kwao,sijui nani kawadanganya nyumba ndogo ni malaika n hawana makosa!!!!!!!!!kwakweli inasikitisha sana dia,sasa anajuta na kulia maana anajua udhaifu wake hakuna wa kumsaidia isipo kuwa mkewe.siwezi kumsemea ur friend sijui walikotoka n ol that but kiukweli anything that hurts u its not urs,anaekupenda,kukujuali na kukudhamini hawezi kutaka ufikwe na baya loloye.Tell her there are many frnd out here wo want to see her happy and always we love her as a lovely sister n no matter wat she is still beautiful.Baibo imesema"SHIKA SANA ULICHONACHO KABLA MUOVU HAJANYANGA'NYA
 
 

Pearl very true!!! ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe, sasa anaijutia nafsi yake na huyo nyumba ndogo yake!!! na muovu ndo keshamkosesha mke mwema wake!!!
 

Halafu ukajiuliza mara mbili mbili na kugundua kwamba ni kweli huwa mnaonana weekend tu!! Duh! Mimi simo jamani, natamani niwe natembea na ''landline phone'' kiunoni!! 🙂
 
ALAFU MWISHO WA SIKU MNAANZA "OH HUYU JAMAA ALIKUWA NA MALI NA KILA KITU,SIKU HIZI HAELEWEKI WALA NINI ATAKUWA KAROGWA"Hakuna kurogwa hiyo laana ya mke,mtu anakuudummia kama mtoto mara baada ya ww kuachana na huduma za mamako mzazi leo unamdharau na kumwona hafai?Mungu awalaani woteeeeeeee wenye kuwadharau wenzao,mtu anawaza kutwa ni kulia tu!kwann jamani mnatufanyia hivi?si mna dada nyie na kina mama pia?wangefanyiwa hivi mngejiskiaje?
Pearl very true!!! ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe, sasa anaijutia nafsi yake na huyo nyumba ndogo yake!!! na muovu ndo keshamkosesha mke mwema wake!!!
 
si ndo utaandikwa lanline?mm rafiki yangu aliandikwa vokswagen!!!
Halafu ukajiuliza mara mbili mbili na kugundua kwamba ni kweli huwa mnaonana weekend tu!! Duh! Mimi simo jamani, natamani niwe natembea na ''landline phone'' kiunoni!! 🙂
 

Laaziz pole....Ila hiyo nahisi wataachana kwa muda na kisha watarudiana! Mwanaume akipata nafasi ya kulia hayo machozi mbele ya mkewe nahisi atasamehewa!

All in all pole sana kwa yalimsibu rafikiyo. Halafu mpe hongera sana huyo baba yake mdogo, napenda watu wanaweza kuchua hatua za haraka kwenye matukio kama haya!
 

we tena dada zao wakitendwa wao ni wakali ile mbaya Lulu!!! men are very complicated, ni ngumu kujua hata wanachotaka, love them, respect them, trust them, do watever you think kitaongeza mapenzi kwao........mwisho wa siku watakuliza!!!!!!

wanaume mnatakaga nini kwani cha ziada jamani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…